Range Rover ya Wema, matunda ya kampeni za CCM?

Range Rover ya Wema, matunda ya kampeni za CCM?

Ile ya mil 400 Sinza haikua yake, alikodishiwa na brother man. Sasa hiyo unayoisema wewe ni ipi? Tuonyeshe basi. Hakuna kitu hapo!

Team wema huwaambii kitu kwa wema..yn wao ni kubisha bisha tu ht km kuna ukweli
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] uongo mwisho chalinze sasa yule mr misifa awe na nyumba tano watu wasijue wakati kamnunulia gari dada yke ka post instagram haha labda sio yy

Basi haukumsikiaga na mabasi yake umeshayapanda Mwz - Dar

Nimesahau kuwa ulipigwa chini kurekodi bure sauti ulihoitoa hata nyoka hakutoka pangoni.
 
Embu nitumieni vocha ya buku mie maana data zimekata hapa sio kusifia magari na nyumba za watu wakati nyie wenyewe mnadaiwa na mwenye bodaboda..

Ngoja niende zangu baa mie...
 
ccm ina wenyewe kuna watu wanakampenia chama miaka kibao hata baiskeli hawajapewa

Hahahahaha. Juzi nilikuwa sehemu kuna wazee fulani walikuwa pembeni yangu mmoja akapigiwa simu. Mara wakainuka wakatoka walivyorudi walikuwa wamevas sare za chama wakasema mzigo umeingia ngoja ntukachukue mgao wetu. Wakaondoka baada y nusu saa wamerudi wamelewa. Nikacheka sana
 
range ni bei zaid ya hiyo hiyo sio range mpya labda kachukua hiv wawaeza jizawadia gar then watoka nje kwenye gar waanza kushangaaa this is amazing my gift sio bora ungetualika kwamba umenunua gali
 
Inawezekana kuwa ni range mpya pia.. labda ni model ya 2013 ila yeye kaichukua showroom 2015.. si bado wanatengeneza jamani au ndo tunakuwa wavivu wa kufikiri.. hajasema ni model ya 2015? Si Envoque ile au?? 200mil yatosha kabsaaaa...
 
Embu nitumieni vocha ya buku mie maana data zimekata hapa sio kusifia magari na nyumba za watu wakati nyie wenyewe mnadaiwa na mwenye bodaboda..

Ngoja niende zangu baa mie...

Leta tigo tukuingizie huko ...

Kwa tigopesa.
 
Ila mie Wema kanifurahisha kwa vile vipodozi vya jina lake. Safi kabisa!!!!
 
Uwiii
Hivi hujuwi hujuwi kuwa wema sepetu anabonge la nyumba, Huyo dada usimuone hivi ukamuona hafai, huyo anajitambua sana na anatambua kazi zake, usione watu kila siku wanamwandika vibaya kwenye mitandao na wewe ukamdharau, Wema tupo vizuri sana

Wema Sepetu huyu huyu wa Instagram au ???
Ngumu kumeza
 
Wema Sepetu huyu huyu wa Instagram au ???
Ngumu kumeza

Mkuu nimecheka sana the way umeonyesha mshangao teheee teheee,yule hata akinunua pichu mpya dunia itajua itakua awe na mjengo mbona balaa wangeliona ila tatizo yule mdada ana nyota ya kufuatwa na matahira wengi sana ambao yanaamini kila wakionacho ukitaka kucheka wewe wakute wanavyompamba utaishia kucheka.
 
Uwiii
Hivi hujuwi hujuwi kuwa wema sepetu anabonge la nyumba, Huyo dada usimuone hivi ukamuona hafai, huyo anajitambua sana na anatambua kazi zake, usione watu kila siku wanamwandika vibaya kwenye mitandao na wewe ukamdharau, Wema tupo vizuri sana

Hata Mimi najua hivyo na nashangaa anavyosena hana iko masaki km sikosei.
 
Mwananyamala uswazi unapack range hahahaaa eti mil 200 acha zuga famba za dil izo nani hazijui hebu jenga nyumba lulu mdogo anawazidi akili
 
Milion 200 unapata range brand new?
Anielekeze wapi amenunua yake na mimi nikanunue yangu.

Niliwahi kuulizia evogue pale CMC motors ilikuwa around $ 115,000/- duty paid sijui ukipiga kwa rate ya sasa unapata kiasi gani?
 
Back
Top Bottom