mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Uwiii
Hivi hujuwi hujuwi kuwa wema sepetu anabonge la nyumba, Huyo dada usimuone hivi ukamuona hafai, huyo anajitambua sana na anatambua kazi zake, usione watu kila siku wanamwandika vibaya kwenye mitandao na wewe ukamdharau, Wema tupo vizuri sana
Wema awe na nyumba dunia isijue acha kudanganya labda kama anaongwa sasa hivi.
Kuamka kwake na pati ya juzi shukurani kwa ccm
Vipodozi navyo vina wenyewe anapata pesa kwa kutumia jina labda mkataba ubadilike.