Huyo Wema hata nyumba ya kuipark hiyo Range Rover hana. Si bora basi angalau angenunua nyumba uswahilini? Maana mil 200 hupati nyumba Masaki, Mikocheni hata Mbezi Beach! Grow up, Wema. Hiyo Range Rover inahitaji maintenance sasa na wewe kazi yenyewe ya kuungaunga!
Nasikia upatikanaji wake ni kwa hisani ya watu wa Congo (Mwami)
Wema Sepetu amenunua Range Rover brand new, anasema thamani yake ni mil 200, je ni matunda ya kampeni za CCM maake alifanya initiative ya kumkampenia Makamu wa Rais mama Samiah Suluhu kwa slogan ya "mama ongea na mwanao", je hiyo Range Rover ni kazi ya hela alizopiga? duh, watu wamepiga hela jamani uchaguzi wa mwaka huu, sijui aliyekuwa anakaa na mkoba JM amepiga shilingi ngapi kama Wema kapiga mil 200

Range yenyewe ni ya muundo wa kizamani sana.
Uwiii
Hivi hujuwi hujuwi kuwa wema sepetu anabonge la nyumba, Huyo dada usimuone hivi ukamuona hafai, huyo anajitambua sana na anatambua kazi zake, usione watu kila siku wanamwandika vibaya kwenye mitandao na wewe ukamdharau, Wema tupo vizuri sana
Ile ya mil 400 Sinza haikua yake, alikodishiwa na brother man. Sasa hiyo unayoisema wewe ni ipi? Tuonyeshe basi. Hakuna kitu hapo!