Uwiii
Hivi hujuwi hujuwi kuwa wema sepetu anabonge la nyumba, Huyo dada usimuone hivi ukamuona hafai, huyo anajitambua sana na anatambua kazi zake, usione watu kila siku wanamwandika vibaya kwenye mitandao na wewe ukamdharau, Wema tupo vizuri sana
Mtabaki kubwabwaja bure huku wezunu wanasongesha maisha.
Unapaki mil 200 kwa faza hausi....?? Hapana aiseeew
Range yenyewe ni ya muundo wa kizamani sana.
umeulizwa swali rahisi sana unaleta mipasho!
My middle finger salutes you!
Wema Sepetu amenunua Range Rover brand new, anasema thamani yake ni mil 200, je ni matunda ya kampeni za CCM maake alifanya initiative ya kumkampenia Makamu wa Rais mama Samiah Suluhu kwa slogan ya "mama ongea na mwanao", je hiyo Range Rover ni kazi ya hela alizopiga? duh, watu wamepiga hela jamani uchaguzi wa mwaka huu, sijui aliyekuwa anakaa na mkoba JM amepiga shilingi ngapi kama Wema kapiga mil 200
Mkuu kwani diamond ana nyumba ngapi?? Tuanzie hapo maana usidanganywe na maisha ya instagramMi nampongeza kwa bidii zake za kupambana na maisha kama ni Range ya mchina au yenyewe au pesa za ccm au ya kuhongwa kama bado kapanga au kakodi kama anazo hela ya kuihudumia au hana atajijua na maisha yake.Ila mimi nimuonye na niwaonye wale wanaojaribu kumshindanisha na DIAMOND au Zari (ukiingia kwa ig utakutana na dada anayejiita kichaa wa wema)nikumuonea wema wa watu yeye afanye maisha yake lakini kujilinganisha na DIAMOND ni kujitafutia presha si kwa pesa wala kwa umaarufu.
Kuna sehemu nimetaja idadi ya nyumba za DIAMOND ????????? maana unaongozwa na chuki hadi umeshindwa kusoma nilichokiandika.Mkuu kwani diamond ana nyumba ngapi?? Tuanzie hapo maana usidanganywe na maisha ya instagram
Sasa nimchukie kwa lipi mkuu mimi kuwa shabiki wa msanii mwingine sio kwamba namchukia yeye ni maamuzi ila naona umesahau ulichoandika soma vizuri comments zako angekuwa na pesa si angemjengea mama yake nyumba kwanzaKuna sehemu nimetaja idadi ya nyumba za DIAMOND ????????? maana unaongozwa na chuki hadi umeshindwa kusoma nilichokiandika.
Mkuu naona unapenda malumbano ok ngoja nikupe elimu bila malipo, nilisema hivi "wema si wakulinganishwa na DIAMOND au Zari si kwa fedha wala umaarufu" sasa nadhani tatizo lako lipo hapo kuwa na fedha basi wadhani ni lazima umiliki mijengo mingi sana kila mtu anakipaumbele chake. Lakini anazo nyumba zaidi ya ile anayoishi si chini ya 5 na swala la mama/ndugu zake kuwa kwake ni yeye mwenyewe anawataka si kwamba hana mahali pa kuwaweka,muulize sepenga anayelialia kila siku anamjua vizuri ndo mana chozi aliishi kumtoka.Sasa nimchukie kwa lipi mkuu mimi kuwa shabiki wa msanii mwingine sio kwamba namchukia yeye ni maamuzi ila naona umesahau ulichoandika soma vizuri comments zako angekuwa na pesa si angemjengea mama yake nyumba kwanza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] uongo mwisho chalinze sasa yule mr misifa awe na nyumba tano watu wasijue wakati kamnunulia gari dada yke ka post instagram haha labda sio yyMkuu naona unapenda malumbano ok ngoja nikupe elimu bila malipo, nilisema hivi "wema si wakulinganishwa na DIAMOND au Zari si kwa fedha wala umaarufu" sasa nadhani tatizo lako lipo hapo kuwa na fedha basi wadhani ni lazima umiliki mijengo mingi sana kila mtu anakipaumbele chake. Lakini anazo nyumba zaidi ya ile anayoishi si chini ya 5 na swala la mama/ndugu zake kuwa kwake ni yeye mwenyewe anawataka si kwamba hana mahali pa kuwaweka,muulize sepenga anayelialia kila siku anamjua vizuri ndo mana chozi aliishi kumtoka.