Ile ya mil 400 Sinza haikua yake, alikodishiwa na brother man. Sasa hiyo unayoisema wewe ni ipi? Tuonyeshe basi. Hakuna kitu hapo!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] uongo mwisho chalinze sasa yule mr misifa awe na nyumba tano watu wasijue wakati kamnunulia gari dada yke ka post instagram haha labda sio yy
ccm ina wenyewe kuna watu wanakampenia chama miaka kibao hata baiskeli hawajapewa
Embu nitumieni vocha ya buku mie maana data zimekata hapa sio kusifia magari na nyumba za watu wakati nyie wenyewe mnadaiwa na mwenye bodaboda..
Ngoja niende zangu baa mie...
Uwiii
Hivi hujuwi hujuwi kuwa wema sepetu anabonge la nyumba, Huyo dada usimuone hivi ukamuona hafai, huyo anajitambua sana na anatambua kazi zake, usione watu kila siku wanamwandika vibaya kwenye mitandao na wewe ukamdharau, Wema tupo vizuri sana
Wema Sepetu huyu huyu wa Instagram au ???
Ngumu kumeza
Uwiii
Hivi hujuwi hujuwi kuwa wema sepetu anabonge la nyumba, Huyo dada usimuone hivi ukamuona hafai, huyo anajitambua sana na anatambua kazi zake, usione watu kila siku wanamwandika vibaya kwenye mitandao na wewe ukamdharau, Wema tupo vizuri sana
Milion 200 unapata range brand new?
Anielekeze wapi amenunua yake na mimi nikanunue yangu.
To others( i mean mediocre minds) she is the national hero and their role model....................
NB: Sijawahi kujivunia kuwa MTANZANIA
To others( i mean mediocre minds) she is the national hero and their role model....................
NB: Sijawahi kujivunia kuwa MTANZANIA
Niliwahi kuulizia evogue pale CMC motors ilikuwa around $ 115,000/- duty paid sijui ukipiga kwa rate ya sasa unapata kiasi gani?
ccm ina wenyewe kuna watu wanakampenia chama miaka kibao hata baiskeli hawajapewa