Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BlackHabari,
Nimempata chumba nataka nipake rangi, niweke kapeti na mapambo, naomba ushauri nipake rangi gani?
Na kapeti inayofata pamoja na mapambo kwa chumba Cha mwanaume?
Asante
kama unahitaji fundi nitafute 0718884670Habari,
Nimempata chumba nataka nipake rangi, niweke kapeti na mapambo, naomba ushauri nipake rangi gani?
Na kapeti inayofata pamoja na mapambo kwa chumba Cha mwanaume?
Asante
🤣🤣🤣Huwa tunapaka oil chafu
Boss la DP World 😀😀al habibAione Boss La DP World !! Hizi ndio akili za ________ !!!!!
😆😆😆Kule uarabuni watu kama hawa wanaitwa sio riski yakhe
Hahah uwiii! JF nyie! 😂😂😂Huwa tunapaka oil chafu
Rangi ya njano ni nzuri kwa concentration, hivyo ni mahsusi kwa kusoma na kwa meditation, &maombi.Chaguo la rangi inategemea na hisia ambazo unapenda kuunda katika chumba chako.
- Rangi ya bluu: Inaleta hisia ya utulivu, amani, na ujasiri.
- Rangi ya kijivu: Inatoa hisia ya usawa na utulivu.
- Rangi ya kahawia au rangi ya asili: Rangi za asili kama vile kahawia, beige, au kijani-kahawia zinaweza kutoa hisia ya joto, urafiki, na ujasiri.
- Rangi ya kijani: Kijani ni rangi inayohusishwa na asili na amani.