Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

Yeah na skimming ndio ina gharama kuliko rangi.. Nadhani binder ndio hiyo hiyo skimming sina hakika labda Watu8 anaweza kufafanua

Sent using Jamii Forums mobile app

Skimming ni tofauti na binder, skimming ni ile powder inayochanganywa na maji na kusongwa kupata kitu kama ugali halafu inapakazwa kwenye ukuta uliokwisha chapiwa, ndio foundation ya mwanzo kabisa kwenye maandalizi ya kuelekea rangi...kwenye gari unaweza ifananisha na 'puti'

Baada ya kufanya skimming, ukuta utapigwa msasa mlaini, then utapigwa white emulsion, then binder halafu mwisho rangi
 
Hiyo rangi ikipauka basi kuna mkono wa kibwengo[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujafafanua kuna kuskim nyumba hapo kuna poda pia rangi inaitajika usichanganye mambo
Poda gani mzeya? Nyumba ilishafanyiwa skimming....kilichobaki ni rangi. Ama kuna kitu kingine baada ya skimming na kabla ya kupaka rangi?
 
Back
Top Bottom