Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

Inaweza kumaliza nyumba standard ya room 5
Mshana jr unachapia sasa.
Kupiga rangi inahitaji ngalau urudie coat 3.
Ndoo ya lita 20 haitoshi kupiga vyumba 5.

Yes huenda umejengewa unaongea kwa uzoefu huo lakini mimi ni mjenzi kitaaluma.
Kuongeao uongo kwenye taaluma ya watu ni dhambi.

Haya tunayoyaandika hapa yana athari kubwa kuliko unavyofikiri.
Kuna watu wanasoma kimya kimya na wanaenda ku apply katika maisha yao.

Mtu atanunua ndoo moja akijua itatosha nyumba selfu ya vyumba vitano.

Plz heshimuni taaluma za watu
 
Ebu mtaalaam ntupe nondo za process nzima za upakaji rangi kuta za nje baada ya kufanya skimming. Nini kinafuata baada ya hiyo skimimg mpaka kamaliza zoezi zima la upakaji rangi kwa kiwango bora kabisa?
 
Fundi na yeye anataka apatemo.

Hawa mafundi hawa, ukikaa naombali ukawa ni mtu wa kuagiza agiza watakupiga mpaka unyooke aisee!
Sasa ata kama unapiga mzee sasa ndo iwe ndoo tano. Angesema ndoo mbili laki ndoo tano huo sasa sio upigaji ni ulafi
 
Mshana jr unachapia sasa.
Kupiga rangi inahitaji ngalau urudie coat 3.
Ndoo ya lita 20 haitoshi kupiga vyumba 5.

Yes huenda umejengewa unaongea kwa uzoefu huo lakini mimi ni mjenzi kitaaluma.
Kuongeao uongo kwenye taaluma ya watu ni dhambi.

Haya tunayoyaandika hapa yana athari kubwa kuliko unavyofikiri.
Kuna watu wanasoma kimya kimya na wanaenda ku apply katika maisha yao.

Mtu atanunua ndoo moja akijua itatosha nyumba selfu ya vyumba vitano.

Plz heshimuni taaluma za watu
Una haki klalamika kwa vile na wewe ni fundi.
Sasa tutajuaje kama jamaa kaanika ukweli wenu mafundi ndiyo maana unamsema hivyo?
 
Kama unayopesa tumia JOTUN wanajua. Kama pesa magumashi tafuta kampuni yeyote paka.
Hii bei yake mkasi, kopo moja la liter 4 tu huku kwetu tunanunua kwa 90,
Sema hii kampuni wamekuja kivingine ni inter pure
 
Kama unayopesa tumia JOTUN wanajua. Kama pesa magumashi tafuta kampuni yeyote paka.
Hii bei yake mkasi, kopo moja la liter 4 tu huku kwetu tunanunua kwa 90,
Sema hii kampuni wamekuja kivingine ni inter pure
Ebu mtaalaam ntupe nondo za process nzima za upakaji rangi kuta za nje baada ya kufanya skimming. Nini kinafuata baada ya hiyo skimimg mpaka kamaliza zoezi zima la upakaji rangi kwa kiwango bora kabisa?
Naomba nikueleze kwa uwezo wangu na uzoefu wangu wa ufundi mwaka wa 9 sasa nipo kwenye ufundi finishing,

Kwa upande wa nje ili upake rangi na idumu kwa miaka mingi kama plaster yako ulifuata vipimo sahihi nikiwa na maana haukuibania cement,
Basi unaweza kuskim kwa kutumia michanganyo ifuatayo,
Gundi+white cement
Gundi +Cement ya kawaida,
Gundi +Jk wall putt
Emmusion + cement ya kawaida
Hapo ukuta wako utakuwa imara zaidi na hauta jutia,

Upakaji rangi,
Viwanda vizuri vinavyo ongoza kwa kudumu mda mrefu bira kupauka wala kuonyesha kasoro yoyote ni
1.Jotun
2.plascon
3.Gold ster
Nitaelezea sifa na ubora wa kila kiwanda

1.Jotun,
Hiki kiwanda ni ghari sana kutokana na material yaliyotumika kutengenezea rangi,
kwa rangi hizi huvutika yaani hutengeneza kama karatasi fulani ang'avu, pia unapoipata uziba mashimo ana mikwaruzo ya misasa, hapa hauta iona.

2.plascon
Hiki kiwanda zamani ndo kilikuwa kinaitwa Sadolin, Tunaweza sema hawa ndio waliokuwepo tangu enzi na enzi, ubora wao kwanza rangi zao huwa nzito sana na haipauki hata ipite miaka 10 nyumba utaikuta vile vile,
Hawa walikuza wakazalisha kitu kinaitwa
Binder,_Hii kazi yake hupakwa baada ya kupaka Emmusio rangi yeupe ya kutanguliza kusafisha vumbi ndipo utapaka Binder ili kuzuia fangasi wa nyumba,
Ukiona rangi imepakwa baada ya mda unaona rangi inaanza banduka au kuonyesha kuchoka haraka basi ujue ni fangasi kwenye ukuta, maranyingi huletwa na unyevu nyevu kwenye ukuta wakati wa masika.

2 .Gold ster,
hii huwa ni nzito na inaweza pauka lakini sio haraka kivile pia huwa inang'aa,
𝐍𝐚𝐨𝐦𝐛𝐞𝐧𝐢 𝐧𝐢𝐢𝐬𝐡𝐢𝐞 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚𝐦𝐚𝐬𝐰𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢𝐛𝐮 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐧𝐠𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐮𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐟𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐳𝐚𝐠𝐮 𝐚𝐧𝐚𝐡𝐢𝐬𝐢 𝐤𝐮𝐧𝐚𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐬𝐚𝐡𝐚𝐮 𝐚𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐢𝐫𝐞𝐤𝐞𝐛𝐢𝐬𝐡𝐚,
 
Umetisha mkuu. Kweli upo full nondo
 
Sasa ukitaka kuzui chumvi inakuwaje? Unapaka mchangannyiko gani baada ya plasta? Una skim kwa combination ipi kati ya hizo ulizotaja hapo juu
 
Gundi +cement ya kawaida,
Sababu,_
Cement ya kawaita hufanya kazi ya kunyonya maji maji na gundi kazi yake ni kuzuia kusambaa kwa maji maji au hukusanya maji maji au tunasema huzuia fangasi kufanya kazi
 
Mshana jr unachapia sasa.
Kupiga rangi inahitaji ngalau urudie coat 3.
Ndoo ya lita 20 haitoshi kupiga vyumba 5.

Yes huenda umejengewa unaongea kwa uzoefu huo lakini mimi ni mjenzi kitaaluma.
Kuongeao uongo kwenye taaluma ya watu ni dhambi.

Haya tunayoyaandika hapa yana athari kubwa kuliko unavyofikiri.
Kuna watu wanasoma kimya kimya na wanaenda ku apply katika maisha yao.

Mtu atanunua ndoo moja akijua itatosha nyumba selfu ya vyumba vitano.

Plz heshimuni taaluma za watu
Hakuna nilipodanganya na usitumie kigezo cha kuwa wewe ni mjenzi na mimi sina taaluma ya ujenzi.. Standard coats baada ya skimming ni mbili hiyo ya tatu ni mapenzi binafsi sijaanza ujenzi jana au juzi na sijajenga nyumba moja.. Na ujenzi wangu huwa nasimania mwenyewe hatua kwa hatua.. Kukipambazuka nitatuma picha za most recent ujenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi nashangaa.
 
Fundi ananiambi eti ndoo tano....hataru hawa mafundi
[emoji3][emoji3][emoji3] uyo fundi kanichekesha best ndoo 5 ...uwe unaenda kununua vifaa mwenyewe fundi afanye kazi tu...siku nyingine ujifunze ...hapo angekuibia hela ya ndoo 4 afu yeye angenunua ndoo moja tu
 
Hatari hawa mafundi...kweli nikukaaa nao benet kabisa
 
Hii bei yake mkasi, kopo moja la liter 4 tu huku kwetu tunanunua kwa 90,
Sema hii kampuni wamekuja kivingine ni inter pure

Naomba nikueleze kwa uwezo wangu na uzoefu wangu wa ufundi mwaka wa 9 sasa nipo kwenye ufundi finishing,

Kwa upande wa nje ili upake rangi na idumu kwa miaka mingi kama plaster yako ulifuata vipimo sahihi nikiwa na maana haukuibania cement,
Basi unaweza kuskim kwa kutumia michanganyo ifuatayo,
Gundi+white cement
Gundi +Cement ya kawaida,
Gundi +Jk wall putt
Emmusion + cement ya kawaida
Hapo ukuta wako utakuwa imara zaidi na hauta jutia,

Upakaji rangi,
Viwanda vizuri vinavyo ongoza kwa kudumu mda mrefu bira kupauka wala kuonyesha kasoro yoyote ni
1.Jotun
2.plascon
3.Gold ster
Nitaelezea sifa na ubora wa kila kiwanda

1.Jotun,
Hiki kiwanda ni ghari sana kutokana na material yaliyotumika kutengenezea rangi,
kwa rangi hizi huvutika yaani hutengeneza kama karatasi fulani ang'avu, pia unapoipata uziba mashimo ana mikwaruzo ya misasa, hapa hauta iona.

2.plascon
Hiki kiwanda zamani ndo kilikuwa kinaitwa Sadolin, Tunaweza sema hawa ndio waliokuwepo tangu enzi na enzi, ubora wao kwanza rangi zao huwa nzito sana na haipauki hata ipite miaka 10 nyumba utaikuta vile vile,
Hawa walikuza wakazalisha kitu kinaitwa
Binder,_Hii kazi yake hupakwa baada ya kupaka Emmusio rangi yeupe ya kutanguliza kusafisha vumbi ndipo utapaka Binder ili kuzuia fangasi wa nyumba,
Ukiona rangi imepakwa baada ya mda unaona rangi inaanza banduka au kuonyesha kuchoka haraka basi ujue ni fangasi kwenye ukuta, maranyingi huletwa na unyevu nyevu kwenye ukuta wakati wa masika.

2 .Gold ster,
hii huwa ni nzito na inaweza pauka lakini sio haraka kivile pia huwa inang'aa,
𝐍𝐚𝐨𝐦𝐛𝐞𝐧𝐢 𝐧𝐢𝐢𝐬𝐡𝐢𝐞 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚𝐦𝐚𝐬𝐰𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢𝐛𝐮 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐧𝐠𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐮𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐟𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐳𝐚𝐠𝐮 𝐚𝐧𝐚𝐡𝐢𝐬𝐢 𝐤𝐮𝐧𝐚𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐬𝐚𝐡𝐚𝐮 𝐚𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐢𝐫𝐞𝐤𝐞𝐛𝐢𝐬𝐡𝐚,
Maelezo yako ya gold star ni chai
 
Zamani miaka ya 70 kulikuwa na rangi inaitwa Robialac , bado ipo?
 
Back
Top Bottom