[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani tunapiga papuchi wote kumbe mwenzangu huku nyuma umejenga hatushtuani kabisa
Mshana jr unachapia sasa.Inaweza kumaliza nyumba standard ya room 5
Fundi na yeye anataka apatemo.Fundi ananiambi eti ndoo tano....hataru hawa mafundi
Ebu mtaalaam ntupe nondo za process nzima za upakaji rangi kuta za nje baada ya kufanya skimming. Nini kinafuata baada ya hiyo skimimg mpaka kamaliza zoezi zima la upakaji rangi kwa kiwango bora kabisa?Mshana jr unachapia sasa.
Kupiga rangi inahitaji ngalau urudie coat 3.
Ndoo ya lita 20 haitoshi kupiga vyumba 5.
Yes huenda umejengewa unaongea kwa uzoefu huo lakini mimi ni mjenzi kitaaluma.
Kuongeao uongo kwenye taaluma ya watu ni dhambi.
Haya tunayoyaandika hapa yana athari kubwa kuliko unavyofikiri.
Kuna watu wanasoma kimya kimya na wanaenda ku apply katika maisha yao.
Mtu atanunua ndoo moja akijua itatosha nyumba selfu ya vyumba vitano.
Plz heshimuni taaluma za watu
Sasa ata kama unapiga mzee sasa ndo iwe ndoo tano. Angesema ndoo mbili laki ndoo tano huo sasa sio upigaji ni ulafiFundi na yeye anataka apatemo.
Hawa mafundi hawa, ukikaa naombali ukawa ni mtu wa kuagiza agiza watakupiga mpaka unyooke aisee!
Una haki klalamika kwa vile na wewe ni fundi.Mshana jr unachapia sasa.
Kupiga rangi inahitaji ngalau urudie coat 3.
Ndoo ya lita 20 haitoshi kupiga vyumba 5.
Yes huenda umejengewa unaongea kwa uzoefu huo lakini mimi ni mjenzi kitaaluma.
Kuongeao uongo kwenye taaluma ya watu ni dhambi.
Haya tunayoyaandika hapa yana athari kubwa kuliko unavyofikiri.
Kuna watu wanasoma kimya kimya na wanaenda ku apply katika maisha yao.
Mtu atanunua ndoo moja akijua itatosha nyumba selfu ya vyumba vitano.
Plz heshimuni taaluma za watu
Hii bei yake mkasi, kopo moja la liter 4 tu huku kwetu tunanunua kwa 90,Kama unayopesa tumia JOTUN wanajua. Kama pesa magumashi tafuta kampuni yeyote paka.

Naomba nikueleze kwa uwezo wangu na uzoefu wangu wa ufundi mwaka wa 9 sasa nipo kwenye ufundi finishing,Ebu mtaalaam ntupe nondo za process nzima za upakaji rangi kuta za nje baada ya kufanya skimming. Nini kinafuata baada ya hiyo skimimg mpaka kamaliza zoezi zima la upakaji rangi kwa kiwango bora kabisa?
Apo inategemea na mchanganyo kwa wastan inapiga nyumba ya vyumba viwili kwa uwakikaNa ndoo moja inaweza cover sqm ngapi?
Umetisha mkuu. Kweli upo full nondoHii bei yake mkasi, kopo moja la liter 4 tu huku kwetu tunanunua kwa 90,
Sema hii kampuni wamekuja kivingine ni inter pure
Naomba nikueleze kwa uwezo wangu na uzoefu wangu wa ufundi mwaka wa 9 sasa nipo kwenye ufundi finishing,
Kwa upande wa nje ili upake rangi na idumu kwa miaka mingi kama plaster yako ulifuata vipimo sahihi nikiwa na maana haukuibania cement,
Basi unaweza kuskim kwa kutumia michanganyo ifuatayo,
Gundi+white cement
Gundi +Cement ya kawaida,
Gundi +Jk wall putt
Emmusion + cement ya kawaida
Hapo ukuta wako utakuwa imara zaidi na hauta jutia,
Upakaji rangi,
Viwanda vizuri vinavyo ongoza kwa kudumu mda mrefu bira kupauka wala kuonyesha kasoro yoyote ni
1.Jotun
2.plascon
3.Gold ster
Nitaelezea sifa na ubora wa kila kiwanda
1.Jotun,
Hiki kiwanda ni ghari sana kutokana na material yaliyotumika kutengenezea rangi,
kwa rangi hizi huvutika yaani hutengeneza kama karatasi fulani ang'avu, pia unapoipata uziba mashimo ana mikwaruzo ya misasa, hapa hauta iona.
2.plascon
Hiki kiwanda zamani ndo kilikuwa kinaitwa Sadolin, Tunaweza sema hawa ndio waliokuwepo tangu enzi na enzi, ubora wao kwanza rangi zao huwa nzito sana na haipauki hata ipite miaka 10 nyumba utaikuta vile vile,
Hawa walikuza wakazalisha kitu kinaitwa
Binder,_Hii kazi yake hupakwa baada ya kupaka Emmusio rangi yeupe ya kutanguliza kusafisha vumbi ndipo utapaka Binder ili kuzuia fangasi wa nyumba,
Ukiona rangi imepakwa baada ya mda unaona rangi inaanza banduka au kuonyesha kuchoka haraka basi ujue ni fangasi kwenye ukuta, maranyingi huletwa na unyevu nyevu kwenye ukuta wakati wa masika.
2 .Gold ster,
hii huwa ni nzito na inaweza pauka lakini sio haraka kivile pia huwa inang'aa,
๐๐๐จ๐ฆ๐๐๐ง๐ข ๐ง๐ข๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ ๐ก๐๐ฉ๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐๐ฆ๐๐ฌ๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ง๐ข๐ญ๐๐ฃ๐ข๐๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ง๐ ๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐๐ฅ๐๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ ๐ฎ ๐ง๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐๐ฎ๐ง๐๐ข ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐ณ๐๐ ๐ฎ ๐๐ง๐๐ก๐ข๐ฌ๐ข ๐ค๐ฎ๐ง๐๐ฌ๐๐ก๐๐ฆ๐ฎ ๐ง๐ข๐ฆ๐๐ฌ๐๐ก๐๐ฎ ๐๐ง๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ข๐ซ๐๐ค๐๐๐ข๐ฌ๐ก๐,
Sasa ukitaka kuzui chumvi inakuwaje? Unapaka mchangannyiko gani baada ya plasta? Una skim kwa combination ipi kati ya hizo ulizotaja hapo juuHii bei yake mkasi, kopo moja la liter 4 tu huku kwetu tunanunua kwa 90,
Sema hii kampuni wamekuja kivingine ni inter pure
Naomba nikueleze kwa uwezo wangu na uzoefu wangu wa ufundi mwaka wa 9 sasa nipo kwenye ufundi finishing,
Kwa upande wa nje ili upake rangi na idumu kwa miaka mingi kama plaster yako ulifuata vipimo sahihi nikiwa na maana haukuibania cement,
Basi unaweza kuskim kwa kutumia michanganyo ifuatayo,
Gundi+white cement
Gundi +Cement ya kawaida,
Gundi +Jk wall putt
Emmusion + cement ya kawaida
Hapo ukuta wako utakuwa imara zaidi na hauta jutia,
Upakaji rangi,
Viwanda vizuri vinavyo ongoza kwa kudumu mda mrefu bira kupauka wala kuonyesha kasoro yoyote ni
1.Jotun
2.plascon
3.Gold ster
Nitaelezea sifa na ubora wa kila kiwanda
1.Jotun,
Hiki kiwanda ni ghari sana kutokana na material yaliyotumika kutengenezea rangi,
kwa rangi hizi huvutika yaani hutengeneza kama karatasi fulani ang'avu, pia unapoipata uziba mashimo ana mikwaruzo ya misasa, hapa hauta iona.
2.plascon
Hiki kiwanda zamani ndo kilikuwa kinaitwa Sadolin, Tunaweza sema hawa ndio waliokuwepo tangu enzi na enzi, ubora wao kwanza rangi zao huwa nzito sana na haipauki hata ipite miaka 10 nyumba utaikuta vile vile,
Hawa walikuza wakazalisha kitu kinaitwa
Binder,_Hii kazi yake hupakwa baada ya kupaka Emmusio rangi yeupe ya kutanguliza kusafisha vumbi ndipo utapaka Binder ili kuzuia fangasi wa nyumba,
Ukiona rangi imepakwa baada ya mda unaona rangi inaanza banduka au kuonyesha kuchoka haraka basi ujue ni fangasi kwenye ukuta, maranyingi huletwa na unyevu nyevu kwenye ukuta wakati wa masika.
2 .Gold ster,
hii huwa ni nzito na inaweza pauka lakini sio haraka kivile pia huwa inang'aa,
๐๐๐จ๐ฆ๐๐๐ง๐ข ๐ง๐ข๐ข๐ฌ๐ก๐ข๐ ๐ก๐๐ฉ๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐๐ฆ๐๐ฌ๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ง๐ข๐ญ๐๐ฃ๐ข๐๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ง๐ ๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐๐ฅ๐๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ ๐ฎ ๐ง๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐๐ฎ๐ง๐๐ข ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐ณ๐๐ ๐ฎ ๐๐ง๐๐ก๐ข๐ฌ๐ข ๐ค๐ฎ๐ง๐๐ฌ๐๐ก๐๐ฆ๐ฎ ๐ง๐ข๐ฆ๐๐ฌ๐๐ก๐๐ฎ ๐๐ง๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ข๐ซ๐๐ค๐๐๐ข๐ฌ๐ก๐,
Gundi +cement ya kawaida,Sasa ukitaka kuzui chumvi inakuwaje? Unapaka mchangannyiko gani baada ya plasta? Una skim kwa combination ipi kati ya hizo ulizotaja hapo juu
Hakuna nilipodanganya na usitumie kigezo cha kuwa wewe ni mjenzi na mimi sina taaluma ya ujenzi.. Standard coats baada ya skimming ni mbili hiyo ya tatu ni mapenzi binafsi sijaanza ujenzi jana au juzi na sijajenga nyumba moja.. Na ujenzi wangu huwa nasimania mwenyewe hatua kwa hatua.. Kukipambazuka nitatuma picha za most recent ujenziMshana jr unachapia sasa.
Kupiga rangi inahitaji ngalau urudie coat 3.
Ndoo ya lita 20 haitoshi kupiga vyumba 5.
Yes huenda umejengewa unaongea kwa uzoefu huo lakini mimi ni mjenzi kitaaluma.
Kuongeao uongo kwenye taaluma ya watu ni dhambi.
Haya tunayoyaandika hapa yana athari kubwa kuliko unavyofikiri.
Kuna watu wanasoma kimya kimya na wanaenda ku apply katika maisha yao.
Mtu atanunua ndoo moja akijua itatosha nyumba selfu ya vyumba vitano.
Plz heshimuni taaluma za watu
Upo sahihi kabisaInaweza kumaliza nyumba standard ya room 5
Hata Mimi nashangaa.Hakuna nilipodanganya na usitumie kigezo cha kuwa wewe ni mjenzi na mimi sina taaluma ya ujenzi.. Standard coats baada ya skimming ni mbili hiyo ya tatu ni mapenzi binafsi sijaanza ujenzi jana au juzi na sijajenga nyumba moja.. Na ujenzi wangu huwa nasimania mwenyewe hatua kwa hatua.. Kukipambazuka nitatuma picha za most recent ujenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] uyo fundi kanichekesha best ndoo 5 ...uwe unaenda kununua vifaa mwenyewe fundi afanye kazi tu...siku nyingine ujifunze ...hapo angekuibia hela ya ndoo 4 afu yeye angenunua ndoo moja tuFundi ananiambi eti ndoo tano....hataru hawa mafundi
Hatari hawa mafundi...kweli nikukaaa nao benet kabisa[emoji3][emoji3][emoji3] uyo fundi kanichekesha best ndoo 5 ...uwe unaenda kununua vifaa mwenyewe fundi afanye kazi tu...siku nyingine ujifunze ...hapo angekuibia hela ya ndoo 4 afu yeye angenunua ndoo moja tu
Maelezo yako ya gold star ni chaiHii bei yake mkasi, kopo moja la liter 4 tu huku kwetu tunanunua kwa 90,