Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyeupe nje ya nyumba inategemea mazingira uliyopo kama hayama vumbi, tope wakati wa mvua ama uchavu mwingineWataalam rangi za kampuni gani ni nzuri kwa kupaka nje ya nyumba. Rangi iwe nyeupe na ambayo haitaweka ukungu.
Pili...bei zake kwa ndoo ya litre 20 na wastan ina cover sqm ngapi?
Mazingira yapo mwake tuu so hilo halina shida. Nachotaka ni rangi ya kampuni gani ni nzuri na bei zake. Hizi weather guard zikoje?Nyeupe nje ya nyumba inategemea mazingira uliyopo kama hayama vumbi, tope wakati wa mvua ama uchavu mwingine
Gold star WG nzuri zaidi ndoo ya 20L inaenda mpaka 130KMazingira yapo mwake tuu so hilo halina shida. Nachotaka ni rangi ya kampuni gani ni nzuri na bei zake. Hizi weather guard zikoje?
Na ndoo moja inaweza cover sqm ngapi?Gold star WG nzuri zaidi ndoo ya 20L inaenda mpaka 130K
Inaweza kumaliza nyumba standard ya room 5Na ndoo moja inaweza cover sqm ngapi?
Vipi mkuu...angusha utaalam wakoDuh!
Aisee kumbe kutishana tuu. Mambo simple kabisa hapo ndoo moja sii nimemaliza kanyumba ka vyumba viwli sebule jikoInaweza kumaliza nyumba standard ya room 5
Na bakshish juuAisee kumbe kutishana tuu. Mambo simple kabisa hapo ndoo moja sii nimemaliza kanyumba ka vyumba viwli sebule jiko
Fundi kakutisha 🤣🤣Aisee kumbe kutishana tuu. Mambo simple kabisa hapo ndoo moja sii nimemaliza kanyumba ka vyumba viwli sebule jiko
Fundi ananiambi eti ndoo tano....hataru hawa mafundiFundi kakutisha 🤣🤣
Kama unayopesa tumia JOTUN wanajua. Kama pesa magumashi tafuta kampuni yeyote paka.Wataalam rangi za kampuni gani ni nzuri kwa kupaka nje ya nyumba. Rangi iwe nyeupe na ambayo haitaweka ukungu.
Pili...bei zake kwa ndoo ya litre 20 na wastan ina cover sqm ngapi?
Wee hili gheto la kugegedea likiwa zuri sana mademu watahamia bwana. Rangi ya kawaida inatosha bwana.Kama unayopesa tumia JOTUN wanajua. Kama pesa magumashi tafuta kampuni yeyote paka.
Anataka akafungue hardware huyo. Yani nyumba wastani wa vyumba vitatu vya kulala haizidi lita 30.Fundi ananiambi eti ndoo tano....hataru hawa mafundi
Mkuu hiyo JOTUN lita 20 inaenda bei gani?Kama unayopesa tumia JOTUN wanajua. Kama pesa magumashi tafuta kampuni yeyote paka.
Dah asante sana mwanawane. Jamaa alikuwa anataka kunipiga kweli kweliAnataka akafungue hardware huyo. Yani nyumba wastani wa vyumba vitatu vya kulala haizidi lita 30.
KakugegedeaAisee kumbe kutishana tuu. Mambo simple kabisa hapo ndoo moja sii nimemaliza kanyumba ka vyumba viwli sebule jiko
Duh[emoji1787]Fundi ananiambi eti ndoo tano....hataru hawa mafundi