Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Mdogo mdogo mtaanza kuweka strips nyekunduMimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi? Asanteni.π
Ngoja wadau waje labda ntaelewaMdogo mdogo mtaanza kuweka strips nyekundu
Huyu ndiyo mbongoπ€£π€£π€£Mwaka huu na mwakani kuna uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa kisiasa tz na si unajua rangi ya njano na kijani inawakilisha chama flani cha siasa ,sasa ili kuondoa migawanyo ndani ya nchi isiyokuwa na kichwa VB wa miguu I suspect maybe hii ndio utakuwa modality nzuri viongozi wa timu ya yanga wameamua kuitumia.
Rangi zilikuwepo kabla ya kuanzishwa kwa timu za mpira. Na hakuna mmiliki wa rangi. Je nikatae kutumia kitu chochote chekundu kwa vile tu mimi mi shabiki wa Yanga?Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi? Asanteni.π
Na kuna watu wanaitwa Simba ila ni wapenzi wa Yanga.We shabiki wa Yanga ukipewa note ya elfu 10 unaikataa, unasema ni nyekundu?
Binafsi sioni kama kuna tatizo.Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi?
Asanteni.π
Quul juwaan hiyo imeanza kufanya kazi, mkabidhini Magoma funguo vinginevyo msimu utakuwa mbaya sana kwenu huu.Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi?
Asanteni.π
Chezea quul juuwan wewe ?Mdogo mdogo mtaanza kuweka strips nyekundu
Katina ya Yanga imeikataa rangi nyekundu, kutumika kwenye jezi zakr siyo nyeupe au nyingine yoyoteMimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi?
Asanteni.π