Rangi nyeupe kwenye jezi nyeusi ya Yanga imekaaje?

Rangi nyeupe kwenye jezi nyeusi ya Yanga imekaaje?

Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi? Asanteni.🙏
Mdogo mdogo mtaanza kuweka strips nyekundu
 
Mwaka huu na mwakani kuna uchaguzi wa viongozi mbalimbali wa kisiasa tz na si unajua rangi ya njano na kijani inawakilisha chama flani cha siasa ,sasa ili kuondoa migawanyo ndani ya nchi isiyokuwa na kichwa VB wa miguu I suspect maybe hii ndio utakuwa modality nzuri viongozi wa timu ya yanga wameamua kuitumia.
 
Huyu ndiyo mbongo🤣🤣🤣
 
Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi? Asanteni.🙏
Rangi zilikuwepo kabla ya kuanzishwa kwa timu za mpira. Na hakuna mmiliki wa rangi. Je nikatae kutumia kitu chochote chekundu kwa vile tu mimi mi shabiki wa Yanga?
 
Mimi naona ni jambo zuri kuelekea timu kuwa ya kisasa, yale mambo ya kizamani yasiyo ya maana ni ya kuweka kando mfano kujitenga na rangi fulani. Man united almaarufu masheti wekundu, sasa hivi wana jezi za rangi tofauti tofauti ukiachana na nyeupe na nyekundu.
 
Kwa Asili ukizaliwa tu Bongo , We ni jasiri kwa maisha ya Bongo na pia ni Shabiki Wa Simba......!

Na kama Ujuavyo Jasiri yeyote yule....haachi Asili..! Waacheni Yanga msiwasimange...Wamekumbuka asili...
 
Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi?

Asanteni.🙏
Quul juwaan hiyo imeanza kufanya kazi, mkabidhini Magoma funguo vinginevyo msimu utakuwa mbaya sana kwenu huu.
 
Tunaongeza colour base, na nyekundu itakua yetu. Makolo watafute rangi nyingine
 
Mimi sio shabiki wa mpira ila baada ya kuona hii mada nikaenda kwenye nembo, naona rangi nyeupe ipo.
Kwenye mpira kuna rangi nyeusi na nyeupe.
Young_Africans_SC_(logo).png
 
Mimi ni shabiki wa Young Africans (Yanga) nahoji uhalali wa rangi nyeupe kwenye jezi yetu nyeusi je uhalali wake ukoje au timu yangu haina rangi zake maalumu au mimi ndiyo sielewi?

Asanteni.🙏
Katina ya Yanga imeikataa rangi nyekundu, kutumika kwenye jezi zakr siyo nyeupe au nyingine yoyote
 
Back
Top Bottom