nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
mademu weusi ni watamu kupitiliza, hao wengine wa kawaida sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Colonialism blah blah blahh...Kati yangu na wewe unayeleta lugha ya kizungu kwenye mjadala wa Kiswahili nani aliyeathirika na ukoloni?
Hiyo rangi niliyoweka hapo sio ya mzungu, ni weupe wa mwafrika. Sijafagilia mzungu hapa
Pumbavu mwenyewe....Acha upumbavu wa kusingizia kila kitu wazungu ni dalili za ufinyu wa fikra
Kwa hiyo nikisifia kumiliki gari ni raha utasema natukuza watu weupe pia? Maana ndio wanaounda magari na walio introduce magari Afrika
So sad for shizzo mkuuThe post trauma effects of colonialism and slavery is still on!
It is really hard to get rid of these things in our African minds...Tougher than moving mountains!
It is so engrained in our social fabric so deep...
Its unfortunate....
You can prefer light skin,yes,but don't grade....
Hata wakipaka mafuta wote, nyeupe ni nzuri zaidiHakuna rangi mbaya ni matunzo tu katika hiyo picha nimegundua rangi hiyo nyeusi hapaki mafuta 🤣🤣🤣🤣
Umeulizwa huko juu maswali ya msingi sana ajabu umeyaruka, hiyo picha ni wewe?? na je ni sehemu gani ya kiungo cha mwili wako? goti, mkono au kwapa??Hata wakipaka mafuta wote, nyeupe ni nzuri zaidi
Povu zito, sorry kama nimeumiza hisia zakoNucky Thomson!
Utakua mpumbavu uliepitiliza unapo-compare genetic skin tone ambayo mwanadamu hana mamlaka nayo na eti kujifunza/kuongea english!
So far mwanadamu hawezi change genetics zake....hakuna mwanadamu alichagua kuzaliwa mweusi au mweupe au wa kijani...imetokea kazaliwa na genes hizo....
Wewe unawahukumu kwa kitu ambacho kimewatokea bila wao kuchagua?
Eti English,unaifananisha na genetics?I can unlearn English anytime I want,you can not unlearn your genetics dummy!
English ni communication language,English pekee sio utamaduni kamili wa Mzungu,ni just 1%.
Kiswahili chenyewe nani kakwambia ni cha mwafrika?Ni 68% Mwarabu!
Now,what ma nigga?
Utakataa ila ni kweli,skin tone imekujaa ubongoni mwako!
Light skin,why light skin is better than heavy one?Why grading?
Hujamfagilia mzungu directly,ni kwamba covertly fair skin superiority imekujaa ndio maana!
Pumbavu mwenyewe....
Jitu zima lenye mvi hadi matakoni linafungua stupid thread ku-grade human beings according to their genetic skin tones as if wana control nazo hizo genetics!
You are so stupid to grade people this way.
Wewe ulichagua kuzaliwa mweupe?You are so dumb to even talk like that in public!
Nucky Thompson wa JF ni wa ajabu sana kufananisha vifaa na vitu vya kuchagua physically na genes watu waliozaliwa nazo ambapo hawana option ya kuchagua!
Na nani kakwambia magari yanajengwa na wazungu pekee yake?
Kill that example already.
Nucky Thompson wa Boardwalk Empire was so clever,an Atlantic City political boss racketeer ila aliuwawa kipumbavu kwa three shots toka kwa Tommy Darmody mtoto wa Jimmy kulipa kisasi...Biashara nzima ya bootlegging anabaki nayo Charlie Luciano with his Commission!
Nice to see Nucky Thompson's demise!
Picha sio yangu, nimeitoa group la whatsapp,Umeulizwa huko juu maswali ya msingi sana ajabu umeyaruka, hiyo picha ni wewe?? na je ni sehemu gani ya kiungo cha mwili wako? goti, mkono au kwapa??
I hope hii comment utaiona na kuijibu braza kaka.
Tako mkuu.Aiseee ilo jeusi ni goti au kwapa
Mkono wa mtoa madaHakuna rangi mbaya ni matunzo tu katika hiyo picha nimegundua rangi hiyo nyeusi hapaki mafuta 🤣🤣🤣🤣
Hivi ni mkono au mguu 🤣🤣Mkono wa mtoa mada
Mkono ila wa kiumeHivi ni mkono au mguu 🤣🤣
Aisee ajitahidi basi kupaka utufuta tudogo maana kwa hali hiyo lazima aisifie rangi ya mwenzieMkono ila wa kiume
Ni kweli aisee, ila wanaume hua hatujali sana mambo ya kupaka mafutaAisee ajitahidi basi kupaka utufuta tudogo maana kwa hali hiyo lazima aisifie rangi ya mwenzie
Amwambie huyo bibie afanye kazi hiyo mahabateni sio mbayaNi kweli aisee, ila wanaume hua hatujali sana mambo ya kupaka mafuta
Ha ha haaaa! Kweli aiseeAmwambie huyo bibie afanye kazi hiyo mahabateni sio mbaya