Colonialism blah blah blahh...Kati yangu na wewe unayeleta lugha ya kizungu kwenye mjadala wa Kiswahili nani aliyeathirika na ukoloni?
Nucky Thomson!
Utakua mpumbavu uliepitiliza unapo-compare genetic skin tone ambayo mwanadamu hana mamlaka nayo na eti kujifunza/kuongea english!
So far mwanadamu hawezi change genetics zake....hakuna mwanadamu alichagua kuzaliwa mweusi au mweupe au wa kijani...imetokea kazaliwa na genes hizo....
Wewe unawahukumu kwa kitu ambacho kimewatokea bila wao kuchagua?
Eti English,unaifananisha na genetics?I can unlearn English anytime I want,you can not unlearn your genetics dummy!
English ni communication language,English pekee sio utamaduni kamili wa Mzungu,ni just 1%.
Kiswahili chenyewe nani kakwambia ni cha mwafrika?Ni 68% Mwarabu!
Now,what ma nigga?
Hiyo rangi niliyoweka hapo sio ya mzungu, ni weupe wa mwafrika. Sijafagilia mzungu hapa
Utakataa ila ni kweli,skin tone imekujaa ubongoni mwako!
Light skin,why light skin is better than heavy one?Why grading?
Hujamfagilia mzungu directly,ni kwamba covertly fair skin superiority imekujaa ndio maana!
Acha upumbavu wa kusingizia kila kitu wazungu ni dalili za ufinyu wa fikra
Pumbavu mwenyewe....
Jitu zima lenye mvi hadi matakoni linafungua stupid thread ku-grade human beings according to their genetic skin tones as if wana control nazo hizo genetics!
You are so stupid to grade people this way.
Wewe ulichagua kuzaliwa mweupe?You are so dumb to even talk like that in public!
Kwa hiyo nikisifia kumiliki gari ni raha utasema natukuza watu weupe pia? Maana ndio wanaounda magari na walio introduce magari Afrika
Nucky Thompson wa JF ni wa ajabu sana kufananisha vifaa na vitu vya kuchagua physically na genes watu waliozaliwa nazo ambapo hawana option ya kuchagua!
Na nani kakwambia magari yanajengwa na wazungu pekee yake?
Kill that example already.
Nucky Thompson wa Boardwalk Empire was so clever,an Atlantic City political boss racketeer ila aliuwawa kipumbavu kwa three shots toka kwa Tommy Darmody mtoto wa Jimmy kulipa kisasi...Biashara nzima ya bootlegging anabaki nayo Charlie Luciano with his Commission!
Nice to see Nucky Thompson's demise!