Rangi nyeupe ni nzuri mazee, ndio maana wanawake wanajichubua, tuache unafiki

When it comes to changing complexion because you feel inferior and you think lighter skinned people are superior that us a major problem.
 
acha ulimbukeni huo. hao wanaojitia mikorogo wanamatatizo ya akili kama ulivo weye. Na huo mguu hebu kuwa na kawaida alau ya kuupaka mafuta.

BLACK IS BEAUTY
 
Ndo kimbilio lenu hili somo la history kidato cha kwanza hata kwenye mambo ya kawaida, sasa colonialism imefanyaje hapo.. rangi nyeupe ni kali full stop!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upo sawa kulingana na mtizamo wako, na sio lazima mtu mwingine akupinge au akuunge mkono, kwa rangi utakayokuwa nayo kwa kuzaliwa ikubali tu kwakuwa hukupendekeza hapo awali kabla ya kuzaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wewe mtoto una akili sana, hasa ulipotoa hoja kuhusu sanctity ya genetics and the inability to change it. Binafsi hata siwezi kumcheka au kumpuuza mtu kwa maumbile aliyoumbwa nayo kwasababu mimi nishawahi kuwa mhanga wa ubaguzi wa rangi.

Nakumbuka nikiwa na miaka 10 kuna mama muingereza mmoja pamoja na mume waliongea kitu kibaya sana kuhusu mimk wakihisi sielewi, lakini kile kitu kilinikaa mpaka leo hii na ukubwa wangu.

Mtu ukiwambiwa anaweza aiselewe, lakini kuna watu huko wanaumia na kujichukia walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…