rangi nyeusi ktkt ya mapaja....nini tiba

rangi nyeusi ktkt ya mapaja....nini tiba

genltesoul

Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
30
Reaction score
8
habari wana jf......mm ni kobonge kdg nina tatizo la kuwa na rangi nyeuc sana katikati ya mapaja nliwahi kuambiwa cream ya gentrison nimeitumia sana ila cjpata ufumbuzi tatizo hili lipo na mikononi yyani underarms....hv ni ugonjwaa au .......
 
Friction madam! Jenga utamaduni wa kuvaa tight ndefu na kama kauwezo kanaruhusu nunua ka-vits kurahisisha safari za hapa na pale!
 
Dawa ni hafu ya suruali, au machupi makubwa kama suruali
 
Tatizo kubwa ni friction,skin tight inaweza kukusaidia

Na usiku unapolala jaribu kutumia cream/lotion inaitwa white express inasaidia sana..
 
Duh pole mdada ila wewe waweza chukka huo weusi wengine wa jinsia tofauti vikawapa mzuka. Km michirizi ya mapajani wengine wanahanga ika kuitoa Lon wanaume wakiiona wanapagawa
 
Back
Top Bottom