Wafanane na combat zaoHabari za Leo wadau wa humu ndani.
Niende Moja Kwa Moja kwenye swali, mwenye uelewa anieleweshe.
Rangi wanazopaka wanajeshi usoni wakiwa wanaelekea kwenye oparesheni za kivita huwa zinaashiria nini, au zinamaana gani?.
View attachment 2985973
Nawasilisha
Dah Jf comment 😀Ili kumtisha Adui
Duuhh hii kali sasa 😀Wakipigwa risasi zitereze
Nadhani ukiachilia mbali kumtisha adui pia hutumika kama kamaflejiHabari za Leo wadau wa humu ndani.
Niende Moja Kwa Moja kwenye swali, mwenye uelewa anieleweshe.
Rangi wanazopaka wanajeshi usoni wakiwa wanaelekea kwenye oparesheni za kivita huwa zinaashiria nini, au zinamaana gani?.
View attachment 2985973
Nawasilisha
Asante sana angalau nimeng'amua kitu, Kuna mijitu humu haijui hata thamani ya hili jukwaa inaropoka tuKuna kitu kinaitwa "Camouflage" ...Ni mbinu ya kijeshi inazotumika kuficha taswira ya binadamu ili asiweze kutambulika kirahisi. Rangi wanazopaka wanajeshi mwilini zinaendana na mavazi, nyenzo na mizigo aliyobeba. Huakisi asili na hali ya uwanja wa mapambano, uliotokana na tabia za wanyama kama chui na kiumbe kinyonga.
Utambuzi.Habari za Leo wadau wa humu ndani.
Niende Moja Kwa Moja kwenye swali, mwenye uelewa anieleweshe.
Rangi wanazopaka wanajeshi usoni wakiwa wanaelekea kwenye oparesheni za kivita huwa zinaashiria nini, au zinamaana gani?.
View attachment 2985973
Nawasilisha
Hizo ni camoufladge paint. Zimekuwa desinged ku minimize mngao na kumficha askari afanane na mazingira yanayo mzunguka haswa vichakaHabari za Leo wadau wa humu ndani.
Niende Moja Kwa Moja kwenye swali, mwenye uelewa anieleweshe.
Rangi wanazopaka wanajeshi usoni wakiwa wanaelekea kwenye oparesheni za kivita huwa zinaashiria nini, au zinamaana gani?.
View attachment 2985973
Nawasilisha
Mkuu, Kwani wewe hujawahi kusikia "Mtu hukunyima tonge hakunyimi neno" ?Asante sana angalau nimeng'amua kitu, Kuna mijitu humu haijui hata thamani ya hili jukwaa inaropoka tu
😂😂😂😂Ili kumtisha Adui