Rangi wanazopaka wanajeshi mwilini wakiwa vitani huwa zinaashiria nini?

Rangi wanazopaka wanajeshi mwilini wakiwa vitani huwa zinaashiria nini?

Hata jkt haukupita??
Hiyo ni camouflage.

Sio wanajeshi tu hadi zana za kivita kama vile vifaru na magari vinapambwa ili vifichike kiurahisi/visionekane kwa urahisi/vifanane mazingira husika
 
Habari za Leo wadau wa humu ndani.

Niende Moja Kwa Moja kwenye swali, mwenye uelewa anieleweshe.

Rangi wanazopaka wanajeshi usoni wakiwa wanaelekea kwenye oparesheni za kivita huwa zinaashiria nini, au zinamaana gani?.

View attachment 2985973

Nawasilisha
Ujue hapo hajakamilisha kwa kuvaa majani/nyasi kama yuko kwenye eneo lililoota manyasi.
 
Habari za Leo wadau wa humu ndani.

Niende Moja Kwa Moja kwenye swali, mwenye uelewa anieleweshe.

Rangi wanazopaka wanajeshi usoni wakiwa wanaelekea kwenye oparesheni za kivita huwa zinaashiria nini, au zinamaana gani?.

View attachment 2985973

Nawasilisha
Unajua ni kwa nini mavazi ya jeshi yana hizi rangi za mabaka-mabaka? Ili wanapokuwa uwanja wa vita iwe vigumu kwa adui kuwaona. Kwa hiyo hata hizi rangi wanazopaka ni sababu hiyo hiyo. Halafu kwa wenzetu wenye rangi ''nyeupe'' kama wazungu kuonekana akiwa kwenye vichaka au usiku ni rahisi zaidi hivyo rangi itasaidia
 
Nyoshi el sadaat akiziona tu hizo nazo atajaribu mana nasikia uso wa nyoshi viwanda vya mkorogo wameukodi kwa majaribio
 
Back
Top Bottom