Rapa Chemical : "Sijawahi kuguswa na mwanaume yeyote" Adai yeye ni Bikra

Nimependa hiyo ya kutojipamba na minywele ya plastiki na mipoda aina selasini..hilo la ubikira kwa umri alionao inaonyesha kua (1)malezi
(2)anajitambua
(3)kuyashinda
Majaribu.
(4)mvumilivu
 
Namba zake pls....

Kama ni kweli naoa kabisa
 
mbona sura kama ya mwanaume! inawezekana kabisa ana sura ngumu hyo binti
 
Kwanza naheshimu Uhuru wake was ktoa maoni ila nayapinga mawazo.
1.Sampuli ya watu wanaoimba huo mziki wake wanafahamika in watu gani.Kwangu in very big "NO".
2.Mtaa anaoishi watoto so riziki??
 
Anatafuta siko uyo kajipendekeze uone waweza kutana na bwawa
 
We msanii unatakiwa upromote mziki wako na uepuke mambo ambayo yanaweza kukudhalilisha mbele ya jamii, tena msomi lakini unakuwa na ulakini kama hivyo tumekujua kwa muziki fanya muziki tu achana na mboyoyo
 
Dem anazingua

Kipind alikuwa anamegwa na mshkaj wang anasoma pale Ud sas cjui ndo kiki ionekane mwema sana............
 
Sijawahi ona mtu anajivuna kwa kukosa starehe yeye na Eva nani bora?

Hasifananishe aliyeguswa na mambo ya kijanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…