View attachment 2855282
View attachment 2855283
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msanii huyo kutoka Kenya imeeleza kuwa Jazeel alifariki kutokana na ajali aliyopata akiwa katika moja ya Hoteli waliyofikia jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo taarifa ya Naziz haijaweka wazi zaidi kuhusu tukio la ajali na tayari Marehemu amezikwa jijini Nairobi kwa taratibu za Dini yake.