Kama hujamtaja Ngwea basi umejua mziki juzi ulipokuja dar kusoma[emoji1787][emoji1787]Limetokea wimbi la ivi visanii vya Sasa
Kuandika nyimbo mnazi record mnasiita freestyle
Au ndiyo hamjui maana ya mitindo huru?
Bongo freestyle walikuwa KING ZILAH na NIKKI MBISHI
wengine acheni izo mnajivua nguo
Unamsahau legendary Albert mangweaLimetokea wimbi la ivi visanii vya Sasa
Kuandika nyimbo mnazi record mnasiita freestyle
Au ndiyo hamjui maana ya mitindo huru?
Bongo freestyle walikuwa KING ZILAH na NIKKI MBISHI
wengine acheni izo mnajivua nguo
wanajiita ma MC hawajui mitindo huru huwa mtazamo wangu naona vingi vihoja yaani watangazaji Sasa ndio ma manager
*Kuna ku rap na kubwata marepa na marapa katuni Tungo tata wapi ubunifu umepata,
Unakuwa mtumwa Ili upewe promo kuuza au kama ni binti ukalale kwa prodyuza.*
Niki mbishi zamani now urojo tu,Anakaa mapema tu kwa Cado Kitengo.Limetokea wimbi la ivi visanii vya Sasa
Kuandika nyimbo mnazi record mnasiita freestyle
Au ndiyo hamjui maana ya mitindo huru?
Bongo freestyle walikuwa KING ZILAH na NIKKI MBISHI
wengine acheni izo mnajivua nguo
I see ! Nyie watu wa hip hop kweli Ni wabishiNgwair overrated na wauza unga na wala unga
Saigon tu alikuwa ana rap vizuri kuliko mashauzi ngwair
Kuna ku-rap na ku-bwata/Kuna ku rap na kubwata marepa na marapa katuni Tungo tata wapi ubunifu umepata,
Unakuwa mtumwa Ili upewe promo kuuza au kama ni binti ukalale kwa prodyuza
Ayeeeeeee!!Kado kitengo ni Messi awo wajinga hamna kitu akuna mtu yoyote yule apa Tz atakaekuja kusimama na kitengo ayeeeeeeeeee
Acha dharau kijana kwa freestyle gani? Alafu nyie madogo kujifanya kujua na upepo wa Generation yenu mnakosa heshima kwa waliowatangulia mnataka battle hata na msio waweza kesho utaanza kubwatuka PMawenge kwa Disasta Vina ni mchumba tu michosho Disasta Vina anamkalisha PMawenge acheni hizo, respect waliotangulia kabla Kitengo ana nini nimecheck YouTube ana punchline gani za kumzidi Nikki Mbishi?Niki mbishi zamani now urojo tu,Anakaa mapema tu kwa Cado Kitengo.
Afu kweli mkuuNgwair overrated na wauza unga na wala unga
Saigon tu alikuwa ana rap vizuri kuliko mashauzi ngwair
To be honest ile ya montra bora hata ya raptchaDownload wimbo mpya wa Motra the future sisi sio marafiki u"enjoy" mziki. [emoji91][emoji91][emoji91]
Max unamjua?Afu kweli mkuu
Huyu ngwair wanamuimba sana ila alikuwa mwepesi tu
Kuna audio dizasta Vina anajibu swali kuhusu Mwana FA kum-recognize ngwair as the best of all time huma ndani jamaa kaweka mambo sawa
Kama hujamtaja Ngwea basi umejua mziki juzi ulipokuja dar kusoma[emoji1787][emoji1787]
Hawa madogo wana itikadi za kichoko hao wakulu wanawasupport Ila madogo wanajifanya viburi motherfackers,Hawa watoto wanazingua. Ngwair, Chidi, hao ndio wakali wa mitindo huru Bongo muda wote. Zillah alikuwa mropokaji anayejua kunata na beat tu.
Hujui lolote..Ngwair overrated na wauza unga na wala unga
Saigon tu alikuwa ana rap vizuri kuliko mashauzi ngwair