Rapcha anajua lakini maana ya freestyle?

Rapcha anajua lakini maana ya freestyle?

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Limetokea wimbi la ivi visanii vya Sasa

Kuandika nyimbo mnazi record mnasiita freestyle

Au ndiyo hamjui maana ya mitindo huru?

Bongo freestyle walikuwa KING ZILAH na NIKKI MBISHI

wengine acheni izo mnajivua nguo
 
wanajiita ma MC hawajui mitindo huru huwa mtazamo wangu naona vingi vihoja yaani watangazaji Sasa ndio ma manager

*Kuna ku rap na kubwata marepa na marapa katuni Tungo tata wapi ubunifu umepata,

Unakuwa mtumwa Ili upewe promo kuuza au kama ni binti ukalale kwa prodyuza.*
 
Mtazamo [emoji91][emoji91]
 
Hata Hunju huwa anafokoaga za kwenye simu, ukiskia audio unajua jamaa anaua ukiona video jamaa anadukua sio yule wa 2008 ukimpa topic vichwa vitanesa tuu.
 
Kuna ku rap na kubwata marepa na marapa katuni Tungo tata wapi ubunifu umepata,

Unakuwa mtumwa Ili upewe promo kuuza au kama ni binti ukalale kwa prodyuza
Kuna ku-rap na ku-bwata/
Ma-raper na ma-rapper/
Katuni tungo tata/
Wapi ulipo wewe kaka?/

Unakuwa mtumwa ili upewe promo kuuza/
Au kama ni demu ukalale kwa projuza/ Mapromota wanauma tu na hawajui kupuliza/
Na siku wakipuliza ujue kidonda kishaoza/
 
Niki mbishi zamani now urojo tu,Anakaa mapema tu kwa Cado Kitengo.
Acha dharau kijana kwa freestyle gani? Alafu nyie madogo kujifanya kujua na upepo wa Generation yenu mnakosa heshima kwa waliowatangulia mnataka battle hata na msio waweza kesho utaanza kubwatuka PMawenge kwa Disasta Vina ni mchumba tu michosho Disasta Vina anamkalisha PMawenge acheni hizo, respect waliotangulia kabla Kitengo ana nini nimecheck YouTube ana punchline gani za kumzidi Nikki Mbishi?
 
Ngwair overrated na wauza unga na wala unga

Saigon tu alikuwa ana rap vizuri kuliko mashauzi ngwair
Afu kweli mkuu

Huyu ngwair wanamuimba sana ila alikuwa mwepesi tu

Kuna audio dizasta Vina anajibu swali kuhusu Mwana FA kum-recognize ngwair as the best of all time huma ndani jamaa kaweka mambo sawa
 
Afu kweli mkuu

Huyu ngwair wanamuimba sana ila alikuwa mwepesi tu

Kuna audio dizasta Vina anajibu swali kuhusu Mwana FA kum-recognize ngwair as the best of all time huma ndani jamaa kaweka mambo sawa
Max unamjua?
Max na Zembwela kuna mdau alikua anaitwa Max unamjua?
Nyie madogo mnaboa kinomanoma aisee, kila kitu mnapaka kinyesi tu, nyinyi mmefanya kipi cha maana, mtu anafreestyle anatajataja Google map tu dakika 8 nzima mara Google mara Google map mistari imepishana haijapangiliwa unabwatuka ovyo ovyo tu hueleweki, what a fack? Soon mtasema Afande hakutakiwa kua Mfalme wa Rhymes Tanzania alitakiwa kua Kitengo fack you, and if you support this lame ass fack you too, yes fack you too
 
Yani mimi nawakubali wanahip hop. Kuanzia mashabiki full kubishana hadi wao kila mmoja akidai mwenzake hajui hip hop yeye ndiye anajua hivyo msanii wake mchumba tu.
Yani full ubishi kuanzia kwa shabiki mpaka msanii.
 
Back
Top Bottom