Rapcha anajua lakini maana ya freestyle?

Max unamjua?
Max na Zembwela kuna mdau alikua anaitwa Max unamjua?
Nyie madogo mnaboa kinomanoma aisee, kila kitu mnapaka kinyesi tu, nyinyi mmefanya kipi cha maana, mtu anafreestyle anatajataja Google map tu dakika 8 nzima mara Google mara Google map mistari imepishana haijapangiliwa unabwatuka ovyo ovyo tu hueleweki, what a fack? Soon mtasema Afande hakutakiwa kua Mfalme wa Rhymes Tanzania alitakiwa kua Kitengo fack you, and if you support this lame ass fack you too, yes fack you too

Ngwair alikuwa na mshairi mepesi sana
 
Ngwair alikuwa na mshairi mepesi sana
Kwa hio Kado Kitengo, Disasta Vina, Boshoo, Nacha, Mbeya Boy Chuma na Black Mc ndio mnaowaona wana mashairi magumu kumzidi Ngwair au sio?

Madogo mnazingua mnazingua mnazingua madogo hamna heshima, hivi unaelewa maana ya freestyle kwanza? Unaielewa misingi hiphop na rap ipoje na ni ipi au unaropoka tu?

Wote niliowamention hapo juu wanabwata bwata tu sijaona rapper kidooogo ukiniambia Mbeya Boy Chuma anarap nitakuelewa hao wengine sijawaelewa wanarap nini, rap ni mtiririko na mpangilio wa mashairi yanayoeleweka narudia tena rap ni mtiririko na mpangilio wa mashairi yanayoeleweka, niambie Ngwair katika kurap kwake hukuwahi kumuelewa anarap nini na media zilikua zinapiga Ngoma zake top 10 alikua anafika mpaka namba 1 leo wewe dogo umemaliza la 7 juzi unaleta dharau za ki-wack humu?

Niambie huyo Cado Kitengo au Disasta lini ameshika namba 1 top 10? Sizungumzii boomplay au stream au blog yoyote nazungumzia public radio na TV ipi ameshika namba 1 kwenye top 10? Akachana akarap watu wakamuelewa anachofanya ondoa EaRadio dakika 10 za maangamizi ipi radio nyingine inayoelewa uwepo wake au boomplay na YouTube?

Hizo jeuri na viburi za kutokuheshimu waliotangulia ndio zinafanya msifike mbali, msiposupportiwa mnaanza maneno mengi mkisupportiwa mnajifanya miamba eti unaingia booth unatunga rap line "Disasta Vina ni km JO 70" motherfackers yaan madogo mnapenda battle's za ki-wack, faaaack you
 
Huwa nacheka sana zile nonsense za kudai eti Dizasta ni mkali, these kids don't know shit.
 
Acha dharau kijana kwa freestyle gani? Alafu nyie madogo kujifanya kujua na upepo wa Generation yenu mnakosa heshima kwa waliowatangulia mnataka battle hata na msio waweza kesho utaanza kubwatuka PMawenge kwa Disasta Vina ni mchumba tu michosho Disasta Vina anamkalisha PMawenge acheni hizo, respect waliotangulia kabla Kitengo ana nini nimecheck YouTube ana punchline gani za kumzidi Nikki Mbishi?
We jamaa unajitambua kweli kado ni messi Nikki kwa sasa hawezi kufree style ,Tafuta battle ya Nikki na Cado pale wasafi ndio utajua Nikki anajitafuta sana kwenye freestyle atuzungumzii puch line.
 
Huko nmecheck hadi hio wasafi mimi nazungumzia punchlines,
 
Kuna ku-rap na ku-bwata/
Ma-raper na ma-rapper/
Katuni tungo tata/
Wapi ulipo wewe kaka?/

Unakuwa mtumwa ili upewe promo kuuza/
Au kama ni demu ukalale kwa projuza/ Mapromota wanauma tu na hawajui kupuliza/
Na siku wakipuliza ujue kidonda kishaoza/

“Natamani kuwa huru mnyonyaji asinidhuru/
Wanaitwa ma-emcee hawajui mitindo huru/
Huu mtazamo wangu naona vingi vioja/
Yaani watangazaji sasa ndo ma-manager/
Vidato sita nilivyopitia/ ndivyo vinavyonisaidia/
Mbunifu ukizingatia/, hata wakinibania/
Ni kipaji tu/ ni mtazamo tu/
Msikasirike washikaji haya mawazo tu/“

Ulamaa mwana zuoni alio komaa akiwa katika ubora wapo [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Afu kweli mkuu

Huyu ngwair wanamuimba sana ila alikuwa mwepesi tu

Kuna audio dizasta Vina anajibu swali kuhusu Mwana FA kum-recognize ngwair as the best of all time huma ndani jamaa kaweka mambo sawa

Unaitwaje mkuu nimsikilize kabla sijatoa ya moyoni

Link please [emoji120]
 
Sawa Hashim dogo tumekusikia sasa vipi unasemaje Afande kashakua Mfalme mpaka sasa title anayo yeye na hakuna aliemfuatia unatakaje?
Kupewa title pekee hakukufanyi uwe mfalme.

Amefanya nini cha ziada kufikia kuwa mfalme?
Tueleze legacy yake kwenye bongo hiphop.
 
Max unamjua?
Max na Zembwela kuna mdau alikua anaitwa Max unamjua?
Nyie madogo mnaboa kinomanoma aisee, kila kitu mnapaka kinyesi tu, nyinyi mmefanya kipi cha maana, mtu anafreestyle anatajataja Google map tu dakika 8 nzima mara Google mara Google map mistari imepishana haijapangiliwa unabwatuka ovyo ovyo tu hueleweki, what a fack? Soon mtasema Afande hakutakiwa kua Mfalme wa Rhymes Tanzania alitakiwa kua Kitengo fack you, and if you support this lame ass fack you too, yes fack you too
Safi Sana..madogo wapuuzi Sana..
 
Kupewa title pekee hakukufanyi uwe mfalme.

Amefanya nini cha ziada kufikia kuwa mfalme?
Tueleze legacy yake kwenye bongo hiphop.
Hao wenzenu mnaowapamba wamefanya nini cha maana zaidi ya kurap-rap ovyo unarap rap mistari haina vina na yenye vina haina maana, hivi unaelewa maana ya rap kwanza? Nisije nikawa nabishana na Juma Lokole

Hao madogo unaowapamba wana legacy gan au wameifikisha rap wapi? Km hakuna piga banzi domo lako alafu kaa kimya
 
Back
Top Bottom