Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Una miaka mingapi?Ngwair overrated na wauza unga na wala unga
Saigon tu alikuwa ana rap vizuri kuliko mashauzi ngwair
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una miaka mingapi?Ngwair overrated na wauza unga na wala unga
Saigon tu alikuwa ana rap vizuri kuliko mashauzi ngwair
Max unamjua?
Max na Zembwela kuna mdau alikua anaitwa Max unamjua?
Nyie madogo mnaboa kinomanoma aisee, kila kitu mnapaka kinyesi tu, nyinyi mmefanya kipi cha maana, mtu anafreestyle anatajataja Google map tu dakika 8 nzima mara Google mara Google map mistari imepishana haijapangiliwa unabwatuka ovyo ovyo tu hueleweki, what a fack? Soon mtasema Afande hakutakiwa kua Mfalme wa Rhymes Tanzania alitakiwa kua Kitengo fack you, and if you support this lame ass fack you too, yes fack you too
Kwa hio Kado Kitengo, Disasta Vina, Boshoo, Nacha, Mbeya Boy Chuma na Black Mc ndio mnaowaona wana mashairi magumu kumzidi Ngwair au sio?Ngwair alikuwa na mshairi mepesi sana
Huwa nacheka sana zile nonsense za kudai eti Dizasta ni mkali, these kids don't know shit.Kwa hio Kado Kitengo, Disasta Vina, Boshoo, Nacha, Mbeya Boy Chuma na Black Mc ndio mnaowaona wana mashairi magumu kumzidi Ngwair au sio?
Madogo mnazingua mnazingua mnazingua madogo hamna heshima, hivi unaelewa maana ya freestyle kwanza? Unaielewa misingi hiphop na rap ipoje na ni ipi au unaropoka tu?
Wote niliowamention hapo juu wanabwata bwata tu sijaona rapper kidooogo ukiniambia Mbeya Boy Chuma anarap nitakuelewa hao wengine sijawaelewa wanarap nini, rap ni mtiririko na mpangilio wa mashairi yanayoeleweka narudia tena rap ni mtiririko na mpangilio wa mashairi yanayoeleweka, niambie Ngwair katika kurap kwake hukuwahi kumuelewa anarap nini na media zilikua zinapiga Ngoma zake top 10 alikua anafika mpaka namba 1 leo wewe dogo umemaliza la 7 juzi unaleta dharau za ki-wack humu?
Niambie huyo Cado Kitengo au Disasta lini ameshika namba 1 top 10? Sizungumzii boomplay au stream au blog yoyote nazungumzia public radio na TV ipi ameshika namba 1 kwenye top 10? Akachana akarap watu wakamuelewa anachofanya ondoa EaRadio dakika 10 za maangamizi ipi radio nyingine inayoelewa uwepo wake au boomplay na YouTube?
Hizo jeuri na viburi za kutokuheshimu waliotangulia ndio zinafanya msifike mbali, msiposupportiwa mnaanza maneno mengi mkisupportiwa mnajifanya miamba eti unaingia booth unatunga rap line "Disasta Vina ni km JO 70" motherfackers yaan madogo mnapenda battle's za ki-wack, faaaack you
We jamaa unajitambua kweli kado ni messi Nikki kwa sasa hawezi kufree style ,Tafuta battle ya Nikki na Cado pale wasafi ndio utajua Nikki anajitafuta sana kwenye freestyle atuzungumzii puch line.Acha dharau kijana kwa freestyle gani? Alafu nyie madogo kujifanya kujua na upepo wa Generation yenu mnakosa heshima kwa waliowatangulia mnataka battle hata na msio waweza kesho utaanza kubwatuka PMawenge kwa Disasta Vina ni mchumba tu michosho Disasta Vina anamkalisha PMawenge acheni hizo, respect waliotangulia kabla Kitengo ana nini nimecheck YouTube ana punchline gani za kumzidi Nikki Mbishi?
Huko nmecheck hadi hio wasafi mimi nazungumzia punchlines,We jamaa unajitambua kweli kado ni messi Nikki kwa sasa hawezi kufree style ,Tafuta battle ya Nikki na Cado pale wasafi ndio utajua Nikki anajitafuta sana kwenye freestyle atuzungumzii puch line.
Punchlines ata Msodoki anafanya tena kali tu .Me nazungumzia freestyle wachane kuhusu kitu flaniHuko nmecheck hadi hio wasafi mimi nazungumzia punchlines,
Kuna ku-rap na ku-bwata/
Ma-raper na ma-rapper/
Katuni tungo tata/
Wapi ulipo wewe kaka?/
Unakuwa mtumwa ili upewe promo kuuza/
Au kama ni demu ukalale kwa projuza/ Mapromota wanauma tu na hawajui kupuliza/
Na siku wakipuliza ujue kidonda kishaoza/
Afu kweli mkuu
Huyu ngwair wanamuimba sana ila alikuwa mwepesi tu
Kuna audio dizasta Vina anajibu swali kuhusu Mwana FA kum-recognize ngwair as the best of all time huma ndani jamaa kaweka mambo sawa
Sawa Hashim dogo tumekusikia sasa vipi unasemaje Afande kashakua Mfalme mpaka sasa title anayo yeye na hakuna aliemfuatia unatakaje?Sele atabaki afande mfalme Hashim dogo.
Kupewa title pekee hakukufanyi uwe mfalme.Sawa Hashim dogo tumekusikia sasa vipi unasemaje Afande kashakua Mfalme mpaka sasa title anayo yeye na hakuna aliemfuatia unatakaje?
Huyu mwamba Ni mtaalamu Sana..tungo za kibabe sanaKuna ku-rap na ku-bwata/
Ma-raper na ma-rapper/
Katuni tungo tata/
Wapi ulipo wewe kaka?/
Unakuwa mtumwa ili upewe promo kuuza/
Au kama ni demu ukalale kwa projuza/ Mapromota wanauma tu na hawajui kupuliza/
Na siku wakipuliza ujue kidonda kishaoza/
Safi Sana..madogo wapuuzi Sana..Max unamjua?
Max na Zembwela kuna mdau alikua anaitwa Max unamjua?
Nyie madogo mnaboa kinomanoma aisee, kila kitu mnapaka kinyesi tu, nyinyi mmefanya kipi cha maana, mtu anafreestyle anatajataja Google map tu dakika 8 nzima mara Google mara Google map mistari imepishana haijapangiliwa unabwatuka ovyo ovyo tu hueleweki, what a fack? Soon mtasema Afande hakutakiwa kua Mfalme wa Rhymes Tanzania alitakiwa kua Kitengo fack you, and if you support this lame ass fack you too, yes fack you too
Hao wenzenu mnaowapamba wamefanya nini cha maana zaidi ya kurap-rap ovyo unarap rap mistari haina vina na yenye vina haina maana, hivi unaelewa maana ya rap kwanza? Nisije nikawa nabishana na Juma LokoleKupewa title pekee hakukufanyi uwe mfalme.
Amefanya nini cha ziada kufikia kuwa mfalme?
Tueleze legacy yake kwenye bongo hiphop.