Rapper Future avunja ndoa ya Scottie Pipen...

Obsession
Mi mwenyewe haijawahi kupita wiki mbili sijamueka ata profile picha WhatsApp. . .ni basi tu kuja kumuona ni 'future impossible tense'
Ila ata ngekua mie wallah kwa future ama tyga ama kid ink ndoa ningevunja asee
 
Future ana nini special?
uvunje ndoa ya watoto wanne ili uwe kiburudisho cha Future?
 
Kweli wanawake wengine hawana aibu
mwanamke ana 42 years na ndoa ya watoto 4
ila kavunja ndoa kwa ajili ya rapper tu wa miaka 32...
na sio kuwa anaenda kuolewa...just burudani tu...

Scottie Pippen filed for divorce because of Larsa's 'cozy' relationship with rapper Future – report
Mambo ya ndoa magumu mno.

Hapo usikute hata Scottie naye ana michepuko lukuki.

Wangapi wapo kwenye ndoa lakini kila siku wanachepuka tu?

Hata humu JF wapo wengi sana, tena wake kwa waume. And I know this for a fact.
 
Wachunguzi wa mambo wanadai kulikuwa na party hivi karibuni ambapo "waalikwa" hawakutakiwa kwenda na cell phone. Huyu mrembo naye alikuwepo na inadaiwa aligegedwa na habari zikamfikia Scottie Pippen ambaye naye hakuwawia kuchukua hatua muafaka.

Wengi mitandaoni walishangaa kusikia huyu mrembo naye kaolewa kwa sababu wanadai saa zote alikuwa anaonekana na Kim Kardashian.

Miaka 19 ya ndoa watoto wanne wavulana watatu wa mwisho a baby girl down the drain.

Ila huyu mwanamke ni kama vile 'gold digger'
sidhani kama Scottie angekuwa yuko vizuri kama zamani kwenye finance ndoa hii ingevunjika
 
Hiyo party ya no cell phone ndo ikoje?
aligegedwa tu kama groupie? au ndo huyu Future alikuwa nae?
 
Ila huyu mwanamke ni kama vile 'gold digger'
sidhani kama Scottie angekuwa yuko vizuri kama zamani kwenye finance ndoa hii ingevunjika
Kachitiwa Hillary Clinton seuze Scottie?

Kachitiwa Mandela na Winnie hadi talaka juu. Nini Scottie?

Hata Princess Diana alikuwa anachitiwa na huenda naye alikuwa anachiti.

Na wote hao wana familia.

Kuchepuka ni fact of life. Kupo kila siku.

Bossman we hujawahi kula mke wa mtu? Kama umeoa, mkeo hajawahi kuliwa?

Haya ni mambo ya kawaida mno.
 
Very true....but wengi hufanya kwa siri
sasa huy unaambiwa anasafiri na Future miji mbali mbali na kuonekana nae in public
 
So it's okay to do it secretly but not openly?

Vipi kama ndoa yao ilikuwa inapumulia mashine?

Manake kuna watu ndoa zao zipo kwa jina tu lakini kiuhalisia wala hazipo.

Kufanya in public naona sio sawa....hasa kwa mama mwenye watoto kama huyu
 
Back
Top Bottom