Rapper Future avunja ndoa ya Scottie Pipen...

Rapper Future avunja ndoa ya Scottie Pipen...

Hizo details mie sizijui ila nadhani ni kuepuka watu kuchukua picha na kuziweka mtandaoni. Nilichosoma ni kwamba aligegedwa na rapper ambaye hakutajwa jina.

Hiyo party ya no cell phone ndo ikoje?
aligegedwa tu kama groupie? au ndo huyu Future alikuwa nae?
 
Wanawake mwalimu wao kipofu,upendo wao ni wa kunyauka,usipo upa matunzo stahiki hasa ya ndani,ukiwa mtu wa vi tour kila siku,lazima atatafuta msaidizi,pengine kuna sababu Larsa kufanya ivo.
 
Wanawake mwalimu wao kipofu,upendo wao ni wa kunyauka,usipo upa matunzo stahiki hasa ya ndani,ukiwa mtu wa vi tour kila siku,lazima atatafuta msaidizi,pengine kuna sababu Larsa kufanya ivo.

'aliekwambia nae kaambiwa'
 
This lady is beautiful IMO.
 
Naona ajabu with all the fine, single, young women in the states he still had to wreck Pippen's home
But how did he wreck Pippen's home though?

Didn't the woman, if indeed what is being said is true, do it willingly?

And what if their marriage was in name only?

Have we heard her side of the story yet?

Btw, she is a fine woman, married or not.
 
Mama wenyewe ndio huyu. Hizi tabu tupu hizi......

larsa-pippen-instagram-pics-19.jpg
 
Future mwenyewe ana watoto kama wanne hivi tena mama zao tofauti
 
Wachunguzi wa mambo wanadai kulikuwa na party hivi karibuni ambapo "waalikwa" hawakutakiwa kwenda na cell phone. Huyu mrembo naye alikuwepo na inadaiwa aligegedwa na habari zikamfikia Scottie Pippen ambaye naye hakuwawia kuchukua hatua muafaka.

Wengi mitandaoni walishangaa kusikia huyu mrembo naye kaolewa kwa sababu wanadai saa zote alikuwa anaonekana na Kim Kardashian.

Miaka 19 ya ndoa watoto wanne wavulana watatu wa mwisho a baby girl down the drain.
wabongo tunafia watoto kaka..

kukosa hivyo...!!

balaa lingekua hatari!
 
Wanawake wana fantasies za ajabu sana.

Huyo mwanamke ni 'dream come true' ndo maana akakubali kuvunja ndoa.
 
Muhimu sana maana ndoa inapovunjika pamoja na wanandoa wenyewe kuathirika lakini watoto ndiyo huathirika zaidi na inaweza kuwa kwa muda mrefu mpaka kwenye mahusiano yao ya kimapenzi.
wazungu wanaangalia furaha ya mtu binafs

wanaamini watoto watatengeneza za kwao wenyewe
 
Back
Top Bottom