Rapper Mmarekani aitwae P and B Rock Amepigwa Risasi na Kufariki

Rapper Mmarekani aitwae P and B Rock Amepigwa Risasi na Kufariki

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Kuna Taarifa Kwamba rapper anaitwae P AND B ROCK ame pigwa chuma muda Sio mrefu Huko Carifornia.

Taarifa Zaidi zitawajia.

Screenshot_20220913-121245.jpg
 
Aiseee Pnb Rock kadanja?

Marapa wa US sijui wana vita ya namna gani ya wenyewe kwa wenyewe?

Juzi hapo daktari wa Lil Tjay naye amethibitisha kuwa jamaa ana asilimia 10 za uwezekano wa kuendelea kuishi baada ya kupigwa risasi mara 7
 
Oya kumbe huyu dogo kapigwa risasi...? Sijaiskia hii alipgwa lini mzee namkubaLi dana huyu mwamba
 
Pnb na demu wake walikuwa Roscoes chiken and waffles wanakula....demu wake akapost picha yenye location ig ..wahuni wakamfata....then pow pow💨💨...so sad kwanza kuna video yake kalala chini baada ya kupigwa risasi so sadi yani...mtu anamrecord baadala ya kumsaidia
Rip pnb rock🕊️
 
Aiseee Pnb Rock kadanja?

Marapa wa US sijui wana vita ya namna gani ya wenyewe kwa wenyewe?

Juzi hapo daktari wa Lil Tjay naye amethibitisha kuwa jamaa ana asilimia 10 za uwezekano wa kuendelea kuishi baada ya kupigwa risasi mara 7
Jamaa aikuwa na bitch yake kwenye restaurant
.
Sasa akiwa bitch aka share Google location kwenye social media account yake
.
Sasa wazee wa Kazi wakatimba waka mrob na bullets wakapiga wakasepa
 
Back
Top Bottom