Yah wanaweza kuwa crazy ila siunajuwa serikali za wenye akili,utanyooka mwenyewe...tena bila kupewa miadhabu mikali... Hamna kesi za mauwaji Norway...toa takwimu kama ishawahi tokea wasomali kuuwana wawili au watatu kwa mwaka?Huko walikojaa crazy somali gangs kesi nyingi zakuuana/kupigana wao ndio wanaohusika!