Rapper Mmarekani aitwae P and B Rock Amepigwa Risasi na Kufariki

Nimeiona pia.

Kuna watu kwao hawaoni tabu yoyote kumuua binadamu bila hata sababu au kwa sababu za kipumbavu.

Nimekumbuka mauaji ya Big L nilisoma kuwa alipigwa risasi tisa usoni na kifuani mwaka 1999, na rafiki yake wa utotoni ndie alikuwa mshukiwa wa mauaji yake. Huyo rafiki yake nae aliuawa mwaka 2016.
So sad dah
 
n ngoma yke kbsa oficial kumbe nmeend kuichk kweny acc yak y you tube ina week mbili tu
Ndio ni wimbo official ila haujarekodiwa siku za hivi karibuni tangu apigwe risasi.

Hiyo ni video cover tu ambayo ameamua kuitumia kwenye wimbo huo

Huo ni wimbo ambao upo muda mrefu kwenye EP yake ya stricly 4 my life ambayo kama kumbukumbu zangu ziko sawa aliitoa mwezi wa 4
 
Aaaah apo nmekupaTa chief ila marekaNi noma saNa
 
Amefariki au kapona mbona siwaelewi
Hapa muhusika kabsa pnb rock amefariki il tunarmuongelea sasa hvi ji huyu liltjay ambae alipgwa risasi mwezi wa 6 hajfariki anatumia wheel chair ila alieanzishiw uzi ni pnb rock
 
Ndio ni wimbo official ila haujarekodiwa siku za hivi karibuni tangu apigwe risasi.

Hiyo ni video cover tu ambayo ameamua kuitumia kwenye wimbo huo

Huo ni wimbo ambao upo muda mrefu kwenye EP yake ya stricly 4 my life ambayo kama kumbukumbu zangu ziko sawa aliitoa mwezi wa 4
Jamaa walisema ata paralyze baada ya kumiminiwa risasi ila naona alipost mwenyewe ameanza kutembea

Sijawahi kuvutiwa na kuishi Marekani kabisa.
Pia mtu mweusi ni mweusi tu.
Mambo ya kipumbavu tu yanauwana.
Hayataki kusoma yanataka ku rap na kuuza ngada.
 
Back
Top Bottom