Yah wanaweza kuwa crazy ila siunajuwa serikali za wenye akili,utanyooka mwenyewe...tena bila kupewa miadhabu mikali... Hamna kesi za mauwaji Norway...toa takwimu kama ishawahi tokea wasomali kuuwana wawili au watatu kwa mwaka?Huko walikojaa crazy somali gangs kesi nyingi zakuuana/kupigana wao ndio wanaohusika!
View attachment 2355483
Post ya demu wake.
Yah wanaweza kuwa crazy ila siunajuwa serikali za wenye akili,utanyooka mwenyewe...tena bila kupewa miadhabu mikali... Hamna kesi za mauwaji Norway...toa takwimu kama ishawahi tokea wasomali kuuwana wawili au watatu kwa mwaka?
Katumia sample tu mkuu, Ila nchi zote za Scandinavia hakuna matukio mengi ya mauajiMkuu kwan Norway peke yake ndio Scandinavia!?