Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Randy orton

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2019
Posts
1,338
Reaction score
3,561
Ripoti mbalimbali zinasema rapper maruufu wa kundi la 'Migos' amefariki kwa kupigwa risasi huko Houston,Marekani.

Bado hakuna taarifa ya kina kuhusu namna tukio lilivyotokea.

1.png
2.png
 
Ripoti mbalimbali zinasema rapper maruufu wa kundi la 'Migos' amefariki kwa kupigwa risasi huko Houston,Marekani.

Bado hakuna taarifa ya kina kuhusu namna tukio lilivyotokea.
Picha yake link ya mziki wake
 
pope smoke akilipgwa chuma
Nipsey kapigwa chuma
Xxxtenctation alipigwa chuma .

Hao black Americans Wana tatizo mahali
Juicy wrld aliimba kwenye ngoma ya LEGEND

"I usually have an answer to the question
But this time I'm gon' be quiet (this time)
Ain't nothing like the feeling of uncertainty, the eeriness of silence
This time, it was so unexpected
Last time, it was the drugs he was lacing
All legends fall in the making
Sorry truth, dying young, demon youth"

Kuna mahali anauliza
What's 27 club
We aint making it past 21
 
Chanzo cha kuaminika cha kuaminika cha habari za burudani toka marekani, Hollywood unlocked,umeripoti usiku huu(kwa saa za marekani)

Marapa wawili wa kundi la Migos ambao ni Quavo na Takeoff wameshambuliwa kwa risasi vibaya mjini Houston huku Takeoff akiripotiwa tayari kapoteza maisha

Marehemu amefariki akiwa na miaka 28
image_2022-11-01_15-04-19.png

image_2022-11-01_15-04-47.png

Source:SnS
 
Back
Top Bottom