Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Hawa jamaa wangepigwa wote wakafanya kumbe walishambuliwa pamoja ..ila Quavo sijui ana hali gan?
Screenshot_20221101-143328.png
 
Dah, aisee huko USA pameshindikana...RIP..kwa wale wadau wa mziki wa kufoka foka mtakumbuka kazi hizi akiwa kwenye kundi la Migos

Hiyo ngoma ya kwanza Bad and Boujiee ndio my all time favorite ya Migos ingawa marehemu hakuingiza vocal..Tukubali tukatae Migos lilikuwa ni moja ya kundi bora kabisa kwenye muziki wa Hiphop the style they rap,swaggs,fashion walikuwa hawana mpinzani nilikuwa nakubali sana flow za Takeoff
 
Hawa watoto wa game la hip hop wa miaka ya karibuni madawa ya kulevya yanawaharibu sana. Wanauana sana siku hizi. Contents za ovyo lakini unakuta wimbo una views 200M youtube

Ndo maana mimi mpaka leo navutiwa na game la hip hop la mpaka miaka ya 2010's mwanzoni, hawa wa siku hizi siilewi rap style yao wala contents zao
 
Kina 2pac walikufwa lini mzee!
 
Hapo utakuta ni makundi ya Black American ndio wamefanya hayo mauaji.. Adui wa mwafrika ni mwafrika (Kama Mwigulu anavyotufanyia uharamia)

Ndio maana 2Pack kwenye wimbo wake wa Only God Can Judge me alisema kwamba..

".....And they say it's the white man I should fear
But it's my own kind doin' all the killin' here"
 
Back
Top Bottom