Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

offset mbna alijitoa tangu mwezi wa 4 mwaka huu wakabakia quavo na takeoff ambao ni mtu na binamu yake chanzo cha kujitoa offset hawakuweka wazi ila za ndani zinasema offset alipita na demu wa quavo ndio ugomvi ulianzia hapo
Wao mdo walimtoa mkuu coz ao ni ndugu af jamaa akapita na saweetie ambae n Dem wa wenzie
 
Juzi kwenye BET hip-hop awards rapper Joey bad ass aliperform kwenye jukwaa kupay tribute Kwa rappers waliofariki kutokana na gang violence lkn pia akipinga vitendo hvyo vilivyopelekea vifo vyao...mwezi mmoja baadae hii leo tunapata taarifa ya takeoff kupigwa Shaba
 
Chanzo cha kuaminika cha kuaminika cha habari za burudani toka marekani, Hollywood unlocked,umeripoti usiku huu(kwa saa za marekani)

Marapa wawili wa kundi la Migos ambao ni Quavo na Takeoff wameshambuliwa kwa risasi vibaya mjini Houston huku Takeoff akiripotiwa tayari kapoteza maisha

Marehemu amefariki akiwa na miaka 28
View attachment 2404021
View attachment 2404019

Source:SnS
Masikini weeh ninavowapenda Migos😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom