Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

Malegend wameachana na uhuni wametoka "hood" wanaishi kwenye "safer neighbourhoods", hawa madogo damu bado inachemka wanajichanganya kitaa na wahuni lazima tu wale vyuma
Unaenda mitaa ya wahuni,umevaa macheni ya thamani,masaa sjui ya gharama,mfukoni una mabulungutu ya dola....
Alaf una wadis wahuni,wahuni hawawez kukuelewa aise

Ova
 
Mbona machalii ndo wanakula vyuma wale malegend hawanaga bifu na watu kina jayz, kanye en the like..

Rappers wengi walio vizuri upstairs kama didy, jay z au kanye wakishapata pesa, wanaachana na maisha ya hood and gangs kwa ajili ya security lakini pia kulinda brands zao ili kukubalika kwa non blacks ambao ndio wameishika Hollywood na entertainment industry kiujumla
 
Sio kukubalika na wazungu hakuna mtu anayependa kuishi ghetto ni kwa sababu hawana option
 
Kuna rapper mmoja mkongwe maaruf tu jina nmemsahau alozingumzia swala la kuuana alisema huwezi mkuta yeye na akataja marapa wengine malenged wamevaa vaaa marolex,maice ya thaman sana toka enzi hzo na hata sasa kwani yanasababisha usalama kuwa mdogo kwao na hasahasa wakiwa street kama wanavyofanya hawa rapper wa sasa show off nyingi.
 
Ukiwa na Ngozi nyeusi sali sana. Kuna uwezekano tukawa na undugu na shetani kama wazungu wanavyodai. Unaweza ukampa elimu muafrika lakini akaendelea kuukumbatia ujinga wake kwa kisingizio cha urithi wa kitamaduni.
Una hela, una umaarufu una platform nzuri kwann usitumie fursa hiyo kuwainua wengine.. usela mavi wa nini? Kwann uimbe miziki ya kuhamasisha chuki kwenye jamii yako?? Ngoja waendelee kuuana tu
 
Sio kukubalika na wazungu hakuna mtu anayependa kuishi ghetto ni kwa sababu hawana option

Ni kweli mkuu lakini ukiangalia hata black entertainers wengi tu wanaoa race tofauti na yao hasa whites na hata kutojihusisha directly na siasa za races ili kukubalika na hiyo community, kumbuka blacks ni wachache USA na sio wanunuzi wakuu wa muziki kwa hiyo lazma mtu awe cross over artist ili afanye vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom