Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Sema mziki wa Migos sio wa kudis watu kabisa yaanBlack niggas wamejaa roho mbaya na wivu mno kwa wenzao wakitoboa kutoka hood, haijalishi ukiwa kwa gang au lah, kuwindwa kupo palepale.
Ndiyo maana kikawaida ukifanikiwa kwa hood hama mapema kabla hujaanza kuwindwa na mara nyingi wengi wa rappers huhamia ushuani beverly hills, california. Migos walikuwa ni rappers wa kujichanganya kwa hood sana wakifikiri ni kitu kinachowaweka karibu na jamii kumbe kinaqamaliza.
Boss don't speak
Narcos
T-shirt
Deadz
Slippery
Notice Me
Give no Fxk (GNf)
Stir fry
Movin too fast
Bad en Bouj etc.
Karibia zote apo wanajimwambafai tu sema ndo ivyo blacks wakuda wamemuwasha bomba sema wamemuua mchizi mpole kinoma ingekuwa offset sawa maan mwana yule ameshawahi koswakoswa kuuliwa mara kadhaa na anamabif kibao kuna kipindi alikuwa na bifu adi na marehem XXXtentacion pia Chris brown.