Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Duuh mkuu umenikumbusha kuna video kina Snoop Dogg waliwahi kuliponda hilo group na rap style yao daahHawa watoto wa game la hip hop wa miaka ya karibuni madawa ya kulevya yanawaharibu sana. Wanauana sana siku hizi. Contents za ovyo lakini unakuta wimbo una views 200M youtube
Ndo maana mimi mpaka leo navutiwa na game la hip hop la mpaka miaka ya 2010's mwanzoni, hawa wa siku hizi siilewi rap style yao wala contents zao
Kiukweli rap style ya wakongwe wa enzi hizo ilikuwa poa sana sema si unajua tena vijana wa siku hizi
Anyway apumzike kwa amani niliwahi kuwa shabiki yao enzi hizo ndiyo wanatoka na wimbo wao wa versace ila walivyoendelea nikawa siwaelewi