Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Picha yake link ya mziki wakeRipoti mbalimbali zinasema rapper maruufu wa kundi la 'Migos' amefariki kwa kupigwa risasi huko Houston,Marekani.
Bado hakuna taarifa ya kina kuhusu namna tukio lilivyotokea.
Kila baada ya mwezi au miezi miwili rapper anapigwa risasi USA.Ripoti mbalimbali zinasema rapper maruufu wa kundi la 'Migos' amefariki kwa kupigwa risasi huko Houston,Marekani.
Bado hakuna taarifa ya kina kuhusu namna tukio lilivyotokea.
Yes kafaAcha masihara Serious kafa?
Dah, aisee huko USA pameshindikana...RIP..kwa wale wadau wa mziki wa kufoka foka mtakumbuka kazi hizi akiwa kwenye kundi la Migos
pope smoke akilipgwa chuma
Nipsey kapigwa chuma
Xxxtenctation alipigwa chuma .
Hao black Americans Wana tatizo mahali
Juicy wrld aliimba kwenye ngoma ya LEGENDpope smoke akilipgwa chuma
Nipsey kapigwa chuma
Xxxtenctation alipigwa chuma .
Hao black Americans Wana tatizo mahali