Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Habari wadau,
Mwanamuziki Kidcali,28yrs ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia Leo wakiwa kwenye tamasha "Pool Party".
Kidcali ameacha mtoto m1 na mkewe akiwa na mimba.Mpaka sasa muuaji hajulikani ni nani,kidcali alipigwa risasi 6 na mtu asiyejulikana.