Rapper wa kimarekani "Kidcali" auawa kwa kupigwa risasi

Rapper wa kimarekani "Kidcali" auawa kwa kupigwa risasi

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
Habari wadau,

Mwanamuziki Kidcali,28yrs ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia Leo wakiwa kwenye tamasha "Pool Party".

Kidcali ameacha mtoto m1 na mkewe akiwa na mimba.Mpaka sasa muuaji hajulikani ni nani,kidcali alipigwa risasi 6 na mtu asiyejulikana.
 
Marekani ndio maana nimekataa ofer ya kuishi huko
 
black on black crime,no mainstream media coverage........little to zero public outcry..........Just a ni**er being a ni**er..
 
Back
Top Bottom