Rapper Witness: Nimechora tatoo kiunoni ili nisichepuke

Rapper Witness: Nimechora tatoo kiunoni ili nisichepuke

Kaz ipo aache kumchora mwanae au wazazi wake unamchora mtu ambae unaweza achana nae mda wowote
 
Ameona ya picha haikukiki sasa kaja na tatoo, huyu Dada atulie tu kama game limegoma.
 
Looh uyo ochu picha yake iko ap?
1002529_577375532365671_2017562025498907244_n.jpg

Huyu ndio anamzuzua toto la kinyakyusa? Sio mwanaume wa Dar kweli huyu?
 
ukiona demu mpaka anajichora tattoo jina lako,kweli mzee umepiga shoo za kibabe,
 
13722181_860610067372433_306059201_n.jpg


Mwanamuziki wa muziki wa kufoka foka nchini Tanzania, Witness, a.k.a Witness kibonge Mwepesi, ameelezea sababu ya kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake wa sasa Ochu Sheggy katika kiuno chake.

Akizungumza ndani ya eNewz amesema “Ukiweka tattoo sehemu niliyoweka mimi inazuia hata unapotaka kumsaliti mwenza wako yule unayekuwa naye ina kunyima hamu kabisa na anashindwa hata kukutamani tena”.

Pia aliendelea kusema kuwa watu wanadhani kuwa kuolewa ndiyo kumaliza kila kitu lakini kwa sehemu ambayo mapenzi yao yamefikia hakuna kitu ambacho anakihitaji tena kwa kuwa mapenzi ni kuungana mkono na Ochu anamsaidia katika kila kitu ninachofanya.

1471929498148-jpg.386041
Kwahiyo kachora kwa nyuma,ili hasichepuke ............ ??? 🙄🙄🙄
 
Kwa sasa bongo female rapper nayemwela ni chemical, witness is way too outdated
 
Mbona kachora kwa nyuma?Ina maana jamaa huwa anapitia uwani ....nimewaza tuu coz kiuno pia kipo mbele.
 
Back
Top Bottom