CaptainDunga
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 1,572
- 1,379
Watu hawaangalii tattoo wanakulaga tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu picha ipo hapo juu
Looh uyo ochu picha yake iko ap?
View attachment 386618
Huyu ndio anamzuzua toto la kinyakyusa? Sio mwanaume wa Dar kweli huyu?
Yea , Awilo Longomba wa witness..!Huyu si awilo longomba huyu jamani??
Kwahiyo kachora kwa nyuma,ili hasichepuke ............ ??? 🙄🙄🙄![]()
Mwanamuziki wa muziki wa kufoka foka nchini Tanzania, Witness, a.k.a Witness kibonge Mwepesi, ameelezea sababu ya kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake wa sasa Ochu Sheggy katika kiuno chake.
Akizungumza ndani ya eNewz amesema “Ukiweka tattoo sehemu niliyoweka mimi inazuia hata unapotaka kumsaliti mwenza wako yule unayekuwa naye ina kunyima hamu kabisa na anashindwa hata kukutamani tena”.
Pia aliendelea kusema kuwa watu wanadhani kuwa kuolewa ndiyo kumaliza kila kitu lakini kwa sehemu ambayo mapenzi yao yamefikia hakuna kitu ambacho anakihitaji tena kwa kuwa mapenzi ni kuungana mkono na Ochu anamsaidia katika kila kitu ninachofanya.
![]()
una kimeo shukuru TCRA wamekusahaupicha mbona haifunguki
kwamba ni express yourselfMbona kachora kwa nyuma?Ina maana jamaa huwa anapitia uwani ....nimewaza tuu coz kiuno pia kipo mbele.