Rapper Young Dolph auawa

Inasemekana hyo gari waliyoitumia kwenye mauaji wahuni waliiba sehemu , na wakaitelekeza mahali few hours after fatal shooting
Wenzetu wako mbali sana kwenye swala la investigations, kama waliishika shika hiyo gari alama zao wanadakwa mapema sana
 
Kwenye Finally Chris Brown kanyonga chorus tamu sana aisee
 
Ni mbaya sana yaani, na kingine ma gang Lord wa haya makundi huwa wanawatoa hawa wasanii kuwalipia studio n.k so wanakuwa bonded sana huko hata kutoka inakuwa issue so lazima wabaki kuwa affiliated tu, cheki Snoop na umri wake ila he still F*** with the Crips mpaka leo, unategemea hawa young rappers wanaachaje kuwa inspired na hii lifestyle?
 
Wenzetu wako mbali sana kwenye swala la investigations, kama waliishika shika hiyo gari alama zao wanadakwa mapema sana
Inategemea na spirit ya jeshi lakini hata wao sio mafala...walijipanga , kama jeshi litadhamiria watawakamata tatizo Vifo vya black jeshi linakuwa slow sana
 
Hivi juice WRLD nae kavuta?
Aisee uko galaxy gani mzee?

Tangu Dec 2019 na hili ndo kaburi lake

Hili hapa ni kaburi la tripple X

Unataka nikuwekee na picha ya kaburi la godzila wa salasala?
 
Aisee uko galaxy gani mzee?

Tangu Dec 2019 na hili ndo kaburi lake

Hili hapa ni kaburi la tripple X

Unataka nikuwekee na picha ya kaburi la godzila wa salasala?
Hawa wasanii walivuma kwa mda mchache sijui ndio Masonic?
 
Hawa ma rapa pesa wanaingiza nyingi zinawadatisha,pia masela kitaa wana wamind
Hate tena

Ova
Yani huo ndio utofauti wa Marekani na bongo!
Marekani single moja ikienda mainstream tu ikapendwa ulimwenguni unakuwa zaidi ya star! Ni mwendo wa mavuno tu ya atari!
 
Hawa wasanii walivuma kwa mda mchache sijui ndio Masonic?
Juice alianza 2015 ila usikute akawa ana nyimbo nyingi kuliko hata diamond wetu, huyu dogo kila kukicha ma producer aliokua anafanya nao kazi wamekua wakiachia nyimbo mpya

Ila familia yake imepanga kutoa album yake mwezi december
 
Uzuri wa mziki wa marekani ukitusua tu umeikomboa familia
 
Aisee uko galaxy gani mzee?

Tangu Dec 2019 na hili ndo kaburi lake

Hili hapa ni kaburi la tripple X

Unataka nikuwekee na picha ya kaburi la godzila wa salasala?
Hii ndio nimesikia leo sikujua kama jamaa alivuta. Kifo chake naye aliuliwa?
 
Uzuri wa mziki wa marekani ukitusua tu umeikomboa familia
Katika generation ya trap, kwa upande wangu naweza kusema Juice ndio msanii ambaye alikuwa lyrical achana na kina Xxxtentacion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…