Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Wenzetu wako mbali sana kwenye swala la investigations, kama waliishika shika hiyo gari alama zao wanadakwa mapema sanaInasemekana hyo gari waliyoitumia kwenye mauaji wahuni waliiba sehemu , na wakaitelekeza mahali few hours after fatal shooting