Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
M
Ila huu mtazamo una ukweli fulani kwamba maisha ya hawa blacks yamejaa uhalifu (japo sio wote).Sio tu kuwa slow hawafatilii sometimes, wanajua kama sio kudhulumiana basi madawa.. mbaya sana huu mtazamo wao kwa blacks