Rapper Young Dolph auawa

Rapper Young Dolph auawa

M
Sio tu kuwa slow hawafatilii sometimes, wanajua kama sio kudhulumiana basi madawa.. mbaya sana huu mtazamo wao kwa blacks
Ila huu mtazamo una ukweli fulani kwamba maisha ya hawa blacks yamejaa uhalifu (japo sio wote).
 
Wahusika wa tukio hili la mauaji , wote wawili tayari wako mikononi mwa mamlaka. Sadly huu sio uhalifu wao wa kwanza. Link hii hapa:


Bad enough muuaji mmoja ali_post video ya wimbo wake na ile gari waliyotumia ikionekana.

 
So sad, cousin wake Key Glock amepotea kwenye social media tangu afiwe na Young Dolph.
 
Back
Top Bottom