Rappers bora wa muda wote nchini Tanzania

Naona umemsahau Muumin Mwinjuma na Ali Choki.....ila kuna kina Bitchuka na Abdallah Mgonahazeru wa Vijana Sagha Rhumba.
 
Utamsikiaje Hashim Dogo wakati nyie Ni watoto Wa juzi au watoto Wa kishua, mlikua hamruhusiwi kwenda kwenye matamasha ya hip hop miaka ya 90!?

Tafuta nyimbo inaitwa 98 born hell, na nyingine kibao kama Saa za kazi n.k

Incredible is awesome, huyo Ni nyoko.. Sema mengi anayoimba wengi hamuelewi.
 
Jose na Saigon ni wazuri ingawa wanapungukiwa usiriaz kwenye kuandika.Jose hasa kipindi hiki anaharibu sana.Saigon anafit zaidi mitindo huru na vilingeni
Qumamke wallah... Nishawahi mshuhudia saigoni akiteleza kwa mitindo huru, mngese anatisha aisee..
 
Hivi mnajua hao madogo wanaopayuka siku hizi huko mbele siwaelewi!?

Kiukweli nimebaki na Nas, KRS 1, Talib Kweli, Rakim na buckshot... Zaidi Ni nyimbo karibu zote za 2Pac na BIG.. Big L na Hussein Fatal.. N.k
 
soma vzur playlist hyo haf acha unaz ngwea alkuw anarap aje had awe pengo? watu tuna nymbo zke zote xo tunamjua vzur
Unamjua vizuri Albert!?

Hujampa heshima yake hapo.

Muulize Farid Kubanda, alikimbizwa vibaya kwa CNN na yeye akakili na kuongeza kuwa Albert ile ngoma aliandika nyuma ya kipaza.

Muulize pia Nikki Mbishi..
 
Manyookoooo... Nenda kasikilize "Niko Mikononi Mwa Polisi".. Afu linganisha na utumbo sijui unaitwa " Bongo Hip Hop"

Unaijua kazi ya Sugu wewe!?
 
Qumanyokoooo... Kumbe wewe mwenyewe Ni new rapper.

@KakaKipande njoo mpe kazi huyu.

Unamuwekaje Anko JCB #Wachaaa Wa 12.. Ukosefu Wa nidhamu.

21.Zillax/Magwea!? Kwamba Zillax Wa kumlinganisha na Ngwea, acha usengerema.

Natamani mlioanza kuifatilia hip hop baada ya 2006 muwe mnakaa kimya tu.
 
Nuhu Mziwanda anaweza sana... anadeserve top three hapo...
 
Hakuna kama Chege Chigunda... Huyo ndiyo namba moja....
 
kipande wang n Geej Mabov, nlikuw namuelew sn huyu jamaa
 
Pesa ni muhimu sana jaman fuata hii link ujionee aise http://jamiiforums.com/?ref=353746
 
Khaaa....
Matusi na majigambo ya kishamba
Ovyooooo
Kocha wewe na Refa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…