Rappers bora wa muda wote nchini Tanzania

Mtazamo wangu heading yako ungebadilisha na kusema "Mc bora wa muda wote nchini Tz" maana kwa ufahamu wangu kuna tofauti ktk hvyo vitu viwili..... kwahyo baadhi ya ma Mc kuwaita ma Rapper ni kuwakosea heshima.
 
lord na bonta salut,, pr na jay moe ni true legendary kabisa
 
JOH MAKINI, KING WA FLOW STYLES AFRICA NZIMA, HAKOSEAGI JOH FLOW MINGIII. LIST IKO VIZURI
 
Rapa bora ni Albert mangwea then wengine wanafuata.alikuwa mahiri wa mziki alikuwa na uwezo mkubwa sana.
 
Sikiliza ngoma zao kitangoma
 
Nashukuru hujamweka nick mbishi kwa maana kwa kusema ukweli bongo siyo saiz yake Nick ni hiphop professor na si hiphop artist... Wakufunz wenzake ni pamoja na jaymoe.. Afande sele fid q..songa na wengine stamina bado ni tutorial assistant anasimamia seminars tu hahahahaaa...
 
sasa afande anaimba mahadhi hani? sababu hata hip hop unawez kuijua ktkana na mapgo ya beat, yule anajijua mwenyew uimbaj wake ila kibongo bongo anawez ekwa kwa mwanahip hop
mkuu kwahiyo mapigo ya beat za afnde sele yanaonyesha anaimba taarab au nn........

by the way kumjua mtu mwanahiphop kisa midundo ni uwongo...... mwanahiphop halisi atachana hata kwa mlio wa treni likipita
 
Huyu jamaa kadhamiria kabisa kuwavuruga watu hapa.
hasa jaman mnataka mwana FA awe juu ya hashim dogo wakati huyo FA anatoka alkua anacopy style ya hashim, na bado hakuwa anafikia uwezo
 
Mbishi akiwa professor na One atakuwa chuo c ndio
 
Hahahahaaaaa listen to them again sikiza style na mashair hahahahahaaaa they are all mine bt to be honest nick is highest one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…