Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
[emoji121]Hao mbona tunauza nao mitumba kariakoo.... Wakawaida sana ila wanajitahidiii
[emoji121]Bila ramadhani masanja banza stone list haijakamilika
[emoji121]P the mc, jamaa namkubali sana naona siku hizi ameanza pata jina vizuri, hao wengine nawasiliza sana planet bongo
Tuwajue lini tena akati wanafahamika of course They know how to rap and hiphop in general kama walivoua kumi za maangamiz but ishu mafanikio sasa ya mziki wao hamna kikubwa walichonacho kumzidi yule aliyeshindwa kumi za maangamizi nick wa piliHawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania,
Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua.
Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa promosheni tu, ila hamna kitu.
Rappers & freestylers wakatili Tanzania ni
1. WA KIAFRIKA,
2. MAARIFA, THE BIG THINKER,
3. SIR LU,
4. BOSHOOO NINJA,
5. HYDARY SCODA,
6. SELEMENTALLY,
7. CLIMAX BIBO
Mtakuja kuwajua tu.