Rappers wakatili Tanzania ambao watanzania wengi hawawajui

Rappers wakatili Tanzania ambao watanzania wengi hawawajui

Tuwajue lini tena akati wanafahamika of course They know how to rap and hiphop in general kama walivoua kumi za maangamiz but ishu mafanikio sasa ya mziki wao hamna kikubwa walichonacho kumzidi yule aliyeshindwa kumi za maangamizi nick wa pili
Mkuu sijui nikupe balimi au burudani
 
Wakali wasiojulikana.

[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania,
Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua.

Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa promosheni tu, ila hamna kitu.

Rappers & freestylers wakatili Tanzania ni

1. WA KIAFRIKA,
2. MAARIFA, THE BIG THINKER,
3. SIR LU,
4. BOSHOOO NINJA,
5. HYDARY SCODA,
6. SELEMENTALLY,
7. CLIMAX BIBO

Mtakuja kuwajua tu.

Hwa wapuuzi ni bora waachane tu na kurap....HAKUNA wasanii wapuuzi kama rappers wa kiafrika, yaani they are so fucking fake, hawajuwi kurap wao kazi kubana pua tu. Hizi fani ama miziki ya wengine waachieni wenyewe waiendeleze, si kila kitu ni kuiga tu. Waambieni wakajiunge na taarab, mchiriku, singeli.
 
Kama wana zaidi ya miaka 22 waambie waachane na muziki, maan wanatakiwa wafanye majambo mengine. Mziki wenyew ni ule wa kufokafoka??
 
Mkali mbwa, kama haiwalipi wakapige ndumba, hao wote wavuta bange, wanatakiwa wajipange...
Ova listi yko ni zero
 
Hawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania,
Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua.

Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa promosheni tu, ila hamna kitu.

Rappers & freestylers wakatili Tanzania ni

1. WA KIAFRIKA,
2. MAARIFA, THE BIG THINKER,
3. SIR LU,
4. BOSHOOO NINJA,
5. HYDARY SCODA,
6. SELEMENTALLY,
7. CLIMAX BIBO

Mtakuja kuwajua tu.
Wewe mwenyewe ni Nouma (mkatili)
 
Msikilize na GP ROWDIX wa MSTAAFRIKA wapo wengi , binafsi kitaa wako Wana kibao talented ila namna hazijakaa poa wakasikika.

....
 
Baada ya mangwea, One credible anakuja sema hana kiki na hajashikwa na media. P the MC ni old school can't change he is good though.
Bado ktk uandishi fid q anaongoza mpaka sasa wakati stereo na Niki mbishi wanaflow nzuri zaidi. Wakti huohuo JCB ni MC mkali.
 
Hawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania,
Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua.

Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa promosheni tu, ila hamna kitu.

Rappers & freestylers wakatili Tanzania ni

1. WA KIAFRIKA,
2. MAARIFA, THE BIG THINKER,
3. SIR LU,
4. BOSHOOO NINJA,
5. HYDARY SCODA,
6. SELEMENTALLY,
7. CLIMAX BIBO

Mtakuja kuwajua tu.
Mkuu hapo wengine ni rappers wazuri lakini wanaandika alafu wakiambiwa wafreestyle wanaingizia maneno ya kwenye nyimbo zao.So kwakua nyimbo zao bado hazijawa maarufu na wengine hawajarecord bado inakua vigumu kutambua, Mfano maarifa the big thinker.
Nadhani ulifatilia vizuri "dakika kumi za maangamizi".

Maunderground ndio walifanya vizuri wakiongozwa na Hidary scoda,Selementary na climax bibo. huku wanaojiita wakongwe wakina chidbenz,Nikki mbishi,Nikki ii,stamina,jay moe ,young killer na akina bagdad waliishia kumbwela tu pamoja na kaka yao fid q.Yani walizidiwa hadi na yule demu anajiita chemical[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom