Rappers wakatili Tanzania ambao watanzania wengi hawawajui

Rappers wakatili Tanzania ambao watanzania wengi hawawajui

Nimewasikia wawili tu kwenye list climax na bigthinker.
 
Umewapata kwenye Dk 10 za maangamizi EA radio halafu unasema hawajulikani
 
Hawa nd'o rappers na freestylers wakali na wakatili wanaoitendea haki rap ndani ya Tanzania,
Ingawa watanzania wengi bado hawajawajua.

Hao wengine wenye majina makubwa wanabebwa na upepo wa promosheni tu, ila hamna kitu.

Rappers & freestylers wakatili Tanzania ni

1. WA KIAFRIKA,
2. MAARIFA, THE BIG THINKER,
3. SIR LU,
4. BOSHOOO NINJA,
5. HYDARY SCODA,
6. SELEMENTALLY,
7. CLIMAX BIBO

Mtakuja kuwajua tu.
Umemsahau jiwe la mwezi
 
Back
Top Bottom